Yani unekataa kufanya hesabu uliyopewa, umejitungia yako mwenyewe.Ongezeko la mara mbili maana yake ni asilimia 100. Ni kitu kigumu kutokea. Lakini inafikirisha.
Nimekaa nafanya hesabu ya ongezeko la asilimia moja tu kwa siku. Baada ya siku 30 kuna nyongeza ya asilimia 34. Hii si haba.
🤣🤣🤣 eti watakuua, dah🙌Bora uchukue bilioni mbili, ukisema ukubali hiyo option nyingine lazima watakuua maana utachukua pesa za dunia nzima, Bora B 2 maana ni kipande kidogo
Mkuu majamaa hawakuachi Wana tamaa Sana wale.Matatizo ya kutawaliwa na CCM hata swali la kidhahania JF unaogopa kuuawa 😂😂😂
Hahaha hawakuachi mkuu, pesa kitu kingine🤣🤣🤣 eti watakuua, dah🙌
Sio kweli.Hata Tsh 10/= inayodabo kila siku kwa siku 30 ni zaidi ya 2B!!!🙌
Hii mada ni nzuri sana inafikirisha ubongo.Naona wengi wanamponda mtoa mada kwa hii mada yake ila mm sijaona tatizo na nmemuelewa sana mtoa mada
Heri Matusi ya CHADEMA yanafikirisha kuliko Uhoro huu.Hapo utachagua kipi kati ya elfu 10 ambayo itakuwa ina double kila siku, au billion 2 ya papo hapo ?
Ukweli ni upi?Sio kweli.
Piga hesabu ww mwnyw utaonaUkweli ni upi?
Chukua elfu kumi nunua machawa na vipenyo dhidi ya unaowagopa.Bora uchukue bilioni mbili, ukisema ukubali hiyo option nyingine lazima watakuua maana utachukua pesa za dunia nzima, Bora B 2 maana ni kipande kidogo cha pesa.
Haha, mkuu machawa na vipenyo nao Wana nafsi...unajikuta unapigana na jamii yote.Chukua elfu kumi nunua machawa na vipenyo dhidi ya unaowagopa.