Ukiambiwa utaje top 3 ya nyimbo bora kwa muda wote utataja zipi ?

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,042
Reaction score
3,095
Tangu uzakiwe mpaka unaanza shule ukijumlisha nyimbo zote ulizowai kusikia kuanzia mabata madogomadogo yanaogelea, napenda kuhesabu namba, hadi nyimbo za bongofleva nyimbo za dini zote, nyimbo kutoka tz na nje ya Tanzania.

Katika zote ukiambiwa utaje 3 bora utataja zipi

Mimi kwa harakaharaka nitataja
1- Roi Monitou ya Fally Ipupa
2- Ukimwona ya diamond
3 - Jeraha ya jovial ( sehemu aliyoimba jovial pekee )
 
Mbona tatu pekee? Ingekuwa 100 maana nimepata wakati mgumu sana kuchagua kuziacha zingine 97
 
Tangu uzakiwe mpaka unaanza shule ukijumlisha nyimbo zote ulizowai kusikia kuanzia mabata madogomadogo yanaogelea, napenda kuhesabu namba, hadi nyimbo za bongofleva nyimbo za dini zote, nyimbo kutoka tz na nje ya Tanzania.

Katika zote ukiambiwa utaje 3 bora utataja zipi

Mimi kwa harakaharaka nitataja
1- Roi Monitou ya Fally Ipupa
2- Ukimwona ya diamond
3 - Jeraha ya jovial ( sehemu aliyoimba jovial pekee )
.... muda wote kuanzia mwaka gani 5000 BC au mwaka ambao wewe ulianza kusikiliza muziki?
 
Corrabo yangu Bora ya Muda wote

Matonya ft fid Q tax bubu (usaliti)

Solo artist
Fid Q Siri ya mchezo (Hip Hop) (uchumi)

RNB bongofleva
AllyKiba macmuga(Maisha ya starehe)

Kwangu za Muda wote

Japo zipo nyingi.
Mtazamo–Afande ft Jay & Solo
Hii leo–GK ft AY & FA
Mzee wa busara rmx–Nature ft Inspekta
Ndiyo Mzee–Jay ft Nature
Zeze–TID ft Moe
 
My Top 3 🎧❤️
Mirror – Lil Wayne ft Bruno Mars
See You Again – Wiz Khalifa ft Charlie Puth
Slowly – Meddy
Hizi ni chache miongoni mwa nyingi zinazogusa moyo wangu
 
Tangu uzakiwe mpaka unaanza shule ukijumlisha nyimbo zote ulizowai kusikia kuanzia mabata madogomadogo yanaogelea, napenda kuhesabu namba, hadi nyimbo za bongofleva nyimbo za dini zote, nyimbo kutoka tz na nje ya Tanzania.

Katika zote ukiambiwa utaje 3 bora utataja zipi

Mimi kwa harakaharaka nitataja
1- Roi Monitou ya Fally Ipupa
2- Ukimwona ya diamond
3 - Jeraha ya jovial ( sehemu aliyoimba jovial pekee )
Sia unstoppable,t.i live your life ,jason derulo watcha say kwangu hizi nyimbo ni kama therapy
 
Back
Top Bottom