chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
Ukiweka list yako nitag
.... muda wote kuanzia mwaka gani 5000 BC au mwaka ambao wewe ulianza kusikiliza muziki?Tangu uzakiwe mpaka unaanza shule ukijumlisha nyimbo zote ulizowai kusikia kuanzia mabata madogomadogo yanaogelea, napenda kuhesabu namba, hadi nyimbo za bongofleva nyimbo za dini zote, nyimbo kutoka tz na nje ya Tanzania.
Katika zote ukiambiwa utaje 3 bora utataja zipi
Mimi kwa harakaharaka nitataja
1- Roi Monitou ya Fally Ipupa
2- Ukimwona ya diamond
3 - Jeraha ya jovial ( sehemu aliyoimba jovial pekee )
Mtazamo–Afande ft Jay & SoloCorrabo yangu Bora ya Muda wote
Matonya ft fid Q tax bubu (usaliti)
Solo artist
Fid Q Siri ya mchezo (Hip Hop) (uchumi)
RNB bongofleva
AllyKiba macmuga(Maisha ya starehe)
Kwangu za Muda wote
Japo zipo nyingi.
Sia unstoppable,t.i live your life ,jason derulo watcha say kwangu hizi nyimbo ni kama therapyTangu uzakiwe mpaka unaanza shule ukijumlisha nyimbo zote ulizowai kusikia kuanzia mabata madogomadogo yanaogelea, napenda kuhesabu namba, hadi nyimbo za bongofleva nyimbo za dini zote, nyimbo kutoka tz na nje ya Tanzania.
Katika zote ukiambiwa utaje 3 bora utataja zipi
Mimi kwa harakaharaka nitataja
1- Roi Monitou ya Fally Ipupa
2- Ukimwona ya diamond
3 - Jeraha ya jovial ( sehemu aliyoimba jovial pekee )
Listening.. Thanks. U'r playlist is good.Eden by Theo Kounkou, najua vijana hawaujui check link hii
View: https://www.youtube.com/watch?v=cdrfrR4V2z0&list=RDcdrfrR4V2z0&start_radio=1
I am gonna miss you by Milli Vanili
Everyday by Phil Collins
Extra: End of the Road by Boyz to men na Careless Whisper by George Michael
Nyingi sana inategemea na genre