EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #61
Duh, anamuonea mke wako wivu huyo ni mlinzi mwema sana, mkeo anamjua huyo mchepuko?Huyu kenge yani amejitengenezea mpaka ki-cirlce yani mimi,mke wangu na yeye.
Alafu imefikia hatua eti anakuwa na wivu na mke wangu kunizidi ata muhusika.
Yani iko hivi akiniona niko na mke wangu haina shida hiyo kwake yani safi kabisa ila akimkuta na mtu mwengine na ngumi inarusha hii kenge bila hofu yoyote.
Mkuu punguza ukali wa manenoYaan ulichokisema ,wao sio inshu kwao ili mradi unamtomba na unamuhudumia..
Wangu katulia anafuata masharti kikamilifuMkuu mchepuko wako anakusumbua nini..!???
Naona ushakuwa mwana falsafa siku hizi.
Bila hivyo watateseka mjini, maisha ni kusaidiana[emoji851][emoji851][emoji851] kweli aisee ili tuwastiri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wapambane na huo usupawumanWanabako kuwa masingomama mara wajiite vipepeo na strong woman
Ila watramuuuu jamani!! Wanacare sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hawa sijui watakua washazinguana
Sindio wazuri hao mwawapenda hela zinavuja kirahisi zaidi kwao![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waume za watu jamani
Sindio wazuri hao mwawapenda hela zinavuja kirahisi zaidi kwao!
Mvumilie na vikwazoSaana na wanajua kutudekeza jamani [emoji4][emoji4]
Mvumilie na vikwazo
Wangu katulia anafuata masharti kikamilifu
Mi nahusikaje na hilo gazeti[emoji41][emoji848][emoji848] tuheshimianeNa huo ndio uanaume..
Kuna gazeti la sisiemu liliandika "Wanaume wa siku hizi wana umama".. lilizungumzia namna michepuko inavowaendesha wachepukaji. tofauti na ilivokuwa zamani