baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Amesema sio waisrael/IsraelitesMbona maelezo kwenye hiyo clip imeandika "Jews arrive in Palestina ........" halafu wewe unasema siyo Wayahudi?
Wakishinda ni mashujaa wakifeli mnatafuta propaganda za kujifarijiKuna jamaa kwenye video za Zamani Isis/Al qaeda alikua wakikata watu vichwa anapost anapiga navyo selfie, Leo naye ana cheo kikubwa Serikali ya Syria marafiki wa Trump Ambao hawakauki white house
View attachment 3678326
Kama warabu wanaweza kuwa warabu kwanini dini ya kiyahudi haizidi watu million 30 kati ya watu billion 8Amesema sio waisrael/Israelites
Tofautisha mkuu hivyo vitu viwili
-uyahudi ni Dini mtu yoyote anaweza kuwa myahudi, mzungu, mwarabu, Mu Africa etc.
- Israelites ama wana wa Israel ni descendants wa Yaqubu/Jacob ambapo kuna makabila 12.
Hawa wazungu wa sasa ni wayahudi wa kusilimu, walibadili dini na kuwa wayahudi hivyo sio waisrael walioandikwa kwenye Biblia, Quran na vitabu vingine, ndio maana walipiga marufuku kupima DNA.
Maneno ya hiyu jamaa hayana uhusiano na kinachojadiliwa.
Jamaa yako anamaoni mazuri ila ni ya uongo.
Aisee hatari sana hii, jamaa ana pose na vichwa kama vile ni chupa za bia mezani!!Kuna jamaa kwenye video za Zamani Isis/Al qaeda alikua wakikata watu vichwa anapost anapiga navyo selfie, Leo naye ana cheo kikubwa Serikali ya Syria marafiki wa Trump Ambao hawakauki white house
View attachment 3678326
Ndio hivyo wamekata watu vichwa ila leo wamepewa serikali kwa msaada wa USA. Ila sioni kelele kokote kuwa Syria inaongozwa na magaidi wala hawana kesi kokote pale.Wakishinda ni mashujaa wakifeli mnatafuta propaganda za kujifariji
Nani ushamkuta humu jukwaani anashangilia ISIS na Al Qaeda?Wakishinda ni mashujaa wakifeli mnatafuta propaganda za kujifariji
Wapi nimesema imeandikwa na Waisrael?Kama warabu wanaweza kuwa warabu kwanini dini ya kiyahudi haizidi watu million 30 kati ya watu billion 8
Quran mnadai ilishushwa ila wewe unasema ilindikwa na waisrael huwaga mnashangaza sana
Mbona hujatuambia Huo uongo wake?Jamaa yako anamaoni mazuri ila ni ya uongo.
Sipingani na Mungu; nauliza ushahidi wa kile unachodai. Wewe umesema Mungu aliwapa eneo hilo lote. Basi onyesha Biblia inavyosema walimiliki lote. Kutaja mipaka si sawa na kuthibitisha kwamba waliimiliki yote. Lete aya ya umiliki huo, si maelekezo tu.Sijaelewa unapingana na maelekezo ya Mungu au unashabikia udhaifu wa waliopewa hiyo mipaka kushindwa kuwafukuza wakazi na kuyamiliki wakaishia kuona nao.
Mbona maelezo ya Mungu yamenyooka sana hapo juu. Elena uo
Watetezi wengi wa wapalestina mnasupport hamas sasa hamas anatofauti gani na isis au al qaedaNani ushamkuta humu jukwaani anashangilia ISIS na Al Qaeda?
NI eneo lao ndo maana walipewa kiti UNSipingani na Mungu; nauliza ushahidi wa kile unachodai. Wewe umesema Mungu aliwapa eneo hilo lote. Basi onyesha Biblia inavyosema walimiliki lote. Kutaja mipaka si sawa na kuthibitisha kwamba waliimiliki yote. Lete aya ya umiliki huo, si maelekezo tu.
Wewe ndo robot ambaye unatumia jina fekiWapi nimesema imeandikwa na Waisrael?
Guys kutokana na nature za reply za huyu jamaa kuna possiblity kubwa sio Binadamu ni AI inajibu ama Nati mbili tatu kwenye kichwa zimekatika.
Ndio Aya umeleta?NI eneo lao ndo maana walipewa kiti UN
Hiyo aya inamaana gani ilihali tayari israel ni nchi na unabii umetimia tayariNdio Aya umeleta?
Baba yako akikuambia ukifika nyumbani utakuta maandazi saba na sambusa nne ule wewe ukafika ukala andazi moja kwa hofu zako. Tatizo ni Baba yako au wewe. Unatakaje ushahidi kwa kula mandarin saba na sambusa nne ikiwa hadi leo yapo na wahusika wanaishia kula robo andazi.Sipingani na Mungu; nauliza ushahidi wa kile unachodai. Wewe umesema Mungu aliwapa eneo hilo lote. Basi onyesha Biblia inavyosema walimiliki lote. Kutaja mipaka si sawa na kuthibitisha kwamba waliimiliki yote. Lete aya ya umiliki huo, si maelekezo tu.
Kuna jamaa kwenye video za Zamani Isis/Al qaeda alikua wakikata watu vichwa anapost anapiga navyo selfie, Leo naye ana cheo kikubwa Serikali ya Syria marafiki wa Trump Ambao hawakauki white house
View attachment 3678326