Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
-
- #41
Palestina sio neno la kiarabu hata na hili unalijua wagiriki walibadilisha jina na kuita palestina kwenye post ya 40 nimeelezeaHata palestina pia kulikua na machief, kama nchi yoyote ile iliokua Chini ya ukoloni
Timeline ya Palestine hapa, as far as miaka zaidi ya 1000 kabla hajazaliwa yesu
Kabila gani tena? Wapi imeandikwa hiyo ama kweli kwenye Masdji mnadanganyana sana!!Kulikuwa na machief wa kikabila
Wapalestina pia sio waarabu ila wamekuwa arabized kama vile wewe ambavyo sio mswahili ila umekuwa swahilized.Mwaka 5 warumi walimuondoa herode na kumchagua pilato kama mtawala
Tokea mda huo mwaka lilikuwa chini ya warum
mwaka 135 Simon bar Kokhba alishindwa na warumi na eneo kubadilishwa jina na kuitwa palestina kwa hiyo siyo neno la kiarabu bali la kirumi
Tokea mda huo eneo hilo lilikuwa ni koloni hata zilipokuja caliphate still waliendelea kutawala kama koloni ndo maana kabla ya mwaka 1948 hakukuwahi kuwa na mtawala alkyechaguliwa na wakazi wa eneo la palestina badala yale walikuwa wanaletewa kutoka kwa warumi na baadae kutoka kwa waturuki na baadae british akawa anachagua viongozi wa kutawala hilo eneo
Huko kwenye Misikiti yenu mnadanganyana sana na kwa sababu wote ni Mabumunda mnakubali tu bila kuhoji!!Mbona Israel hakuna Makanisa wala wafuasi wa Yesu?
Inakuwaje huoni hilo ni tatizo, upo bize kukomaa na Waislamu?
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako kabla ya kuangalia la mwenzako
Hakuna aliesema palestina ni neno la Kiarabu kama vile ambavyo wapalestina wenyewe sio waarabu (kibaolojia), wapalestina ni watu wa caanan wana DNA sawa na wayahudi wa kale.Palestina sio neno la kiarabu hata na hili unalijua wagiriki walibadilisha jina na kuita palestina kwenye post ya 40 nimeelezea
Unajua kuwa Waingereza walitawala dunia nzima, ikiwemo Marekani?Hao wengine waliochaguliwa na british wanakuaje legitimate president au king wa palestina
Unajua kuwa Waingereza walitawala dunia nzima, ikiwemo Marekani?
Unajua kuwa hata Sultan wa Zanzibar alikuwa anafanyia kazi waingereza?
Unanua kuwa nchi myingi ambazo zinatumia Prime Minister , bado Mkuu wa nchi zao ni Malikia wa Uingereza, ikiwemo Australia na Canada??
Hawa wakina arafat waliozaliwa cairo ndo useme ni sawa na wayahudiHakuna aliesema palestina ni neno la Kiarabu kama vile ambavyo wapalestina wenyewe sio waarabu (kibaolojia), wapalestina ni watu wa caanan wana DNA sawa na wayahudi wa kale.
Hao unaowatetea DNA Yao unaitafuta na tochi kuprove kama ni wayahudi wa kale.
Wayahudi Ambao hawajahama Palestina na wapo strict kwenye kuoa watu wa nje kama Samaritan DNA zao zinafanana kwa kiasi kikubwa na wapalestina, Walebanon, Syria etc
Warabu ndo wanaoongoza kulalamika na kutaka kuifuta israelMtoa mada, pengine una hoja labda mimi ndio napata shida kukuelewa. Unasema Israel yuko sawa kwa sababu eneo lake ni dogo ukilinganisha na arab world? Arab world ndio nchi gani hiyo? Kwani haki ya Israel kujitawala inalinganishwa kiuwiano dhidi ya nchi nyingine za kiarabu? Why basis iwe nchi za kiarabu?
Huwezi ifuta Israel, kila watu wanahaki ya kuwa self determined. So, Israel inayohaki ya kuwepo. Tatizo la Israel ni wao kujiona wana haki ya kuwepo huku majirani zao wasiwepo. Hili ni tatizo, na ndio maana watu wote wenye ufahamu wanampinga Israel kwa hili tu.Warabu ndo wanaoongoza kulalamika na kutaka kuifuta israel
Majiran zao wasiwepo kivipi mbona jordan, egypt, wapo bila shida yeyote na israelHuwezi ifuta Israel, kila watu wanahaki ya kuwa self determined. So, Israel inayohaki ya kuwepo. Tatizo la Israel ni wao kujiona wana haki ya kuwepo huku majirani zao wasiwepo. Hili ni tatizo, na ndio maana watu wote wenye ufahamu wanampinga Israel kwa hili tu.
hapana mkuu ndoto za urais ziishie hapa tu, heri tuendelee na sshEndelea tu na ndoto zako za siku ukiwa Rais wa Tanzania. Hayo mengine huyajui.
wale watu waliopo kule gaza, westbank kwa maoni yako waende wapi, na unakubali kwamba wanatolewa kwa nguvu?Hata wakati wa tawala za kisalmu za caliphate wayahudi walikuwa wanaishi kwenye hayo maeneo na across arab world
Kama una dugu, wakuwahi. Kisandu alianza hivi hiviJina Palestina sio jina la kiarabu limetoka wapi ungana nami ujue limetoka wapi ni ndefu kidogo ila jitahidi kuisoma
ππππ
Miaka 300 kabla hajazaliwa Yesu kiliibuka kizazi chenye akili sana cha ugiriki hiki ndo kipindi socrates, aristostle, plato na alexander the great waliishi- hiki kilikuwa ni kipindi cha greek golden generation- greek ilikuwa inatawala duniani
Eneo la samaria na judea baada ya kuvunjwa kwa hekalu lilikuwa chini ya kina nebukadneza lilikuwa linatawaliwa kama koloni kutoka kwenye dola ya kina nebukadneza na kumbuka nebukadneza lilikuwa jina la watawala kama ilivyokuwa...
- Dennis Robert Shughuru
- Replies: 5
- Forum: International Forum
Soma huu uzi utoke gizani
Huko kwenye Misikiti yenu mnadanganyana sana na kwa sababu wote ni Mabumunda mnakubali tu bila kuhoji!!
Nimekuwekea hapo chini makanisa yaliyoko Jerusalem u na usije danganywa tena kuwa Israel hakuna makanisa. Na waafrika tupo tele
Nazungumzia Palestina, immediate neighbour wa Israel ni palestinaMajiran zao wasiwepo kivipi mbona jordan, egypt, wapo bila shida yeyote na israel
Israel amepakana na egypt na jordan hao nao ni immediate neighbourNazungumzia Palestina, immediate neighbour wa Israel ni palestina
Wewe ndo wakuwahia ambaye unabishana na historia ambayo iko kinyume na unachoaminiKama una dugu, wakuwahi. Kisandu alianza hivi hivi
Walikataa mpango wa aman wakaamua kutimia mtutu wa bunduki sasa unashindanaje na mtu ambaye huna uwezo wa kupigana nayewale watu waliopo kule gaza, westbank kwa maoni yako waende wapi, na unakubali kwamba wanatolewa kwa nguvu?