wanahistori mashughuli kadhaa wamepoint comment hiyo uliyoweka kwamba ni uzushu na ulaghai , unakubaliana na hilo? kwamba unajenga hoja zako kwenye taarifa za uongo?Walikataa mpango wa aman wakaamua kutimia mtutu wa bunduki sasa unashindanaje na mtu ambaye huna uwezo wa kupigana naye
Mwarabu na israelite hawana tofauti yoyote kimuonekano, as I told you kuna community za kiyahudi hapo palestina zipo maelfu ya miaka kama Samaritan, hawa vizazi vyao vina matahira wengi kwa kuoana ndugu, hawaoi nje ya familia zao,Hawa wakina arafat waliozaliwa cairo ndo useme ni sawa na wayahudi
Sawa, nimesema nazungumzia taifa la Palestina ambalo ndio Israel hataki liwepo. Je, kwako ni sahihi?Israel amepakana na egypt na jordan hao nao ni immediate neighbour
Acha uongo mkuu ona hata aibu, wapalestina wamewakaribisha kwa amani alioanza kuua mwenzake ni hao wazungu na wapalestina siku zote wamefuata hio mipango ya Amani, last prime minister wa Israel aliekaa na Wapalestina na kuamua kuwa na Nchi mbili Yitzhak Rabin aliuliwa 1995 na waisrael wenzake.Walikataa mpango wa aman wakaamua kutimia mtutu wa bunduki sasa unashindanaje na mtu ambaye huna uwezo wa kupigana naye
Uzushi upi nawakati ni uhalisia mwaka 1947 wapalestina walikataa mpango wa mataifa mawili matokeo yake UN ikashindwa kuwatambua huku wenzao wakakubali wakatambuliwa mbona iko waziwanahistori mashughuli kadhaa wamepoint comment hiyo uliyoweka kwamba ni uzushu na ulaghai , unakubaliana na hilo? kwamba unajenga hoja zako kwenye taarifa za uongo?
Wapalestina walikataa partition ya mwaka 1947 na iko wazi wewe unaongelea mambo ya 1995Acha uongo mkuu ona hata aibu, wapalestina wamewakaribisha kwa amani alioanza kuua mwenzake ni hao wazungu na wapalestina siku zote wamefuata hio mipango ya Amani, last prime minister wa Israel aliekaa na Wapalestina na kuamua kuwa na Nchi mbili Yitzhak Rabin aliuliwa 1995 na waisrael wenzake.
West bank siku zote imekua na amani hawapigani nini kinawapata? Wanauliwa kila siku na maeneo Yao yanachukuliwa kinguvu.
wewe badoUzushi upi nawakati ni uhalisia mwaka 1947 wapalestina walikataa mpango wa mataifa mawili matokeo yake UN ikashindwa kuwatambua huku wenzao wakakubali wakatambuliwa mbona iko wazi
Na mwaka 1948 israel ilivyotambuliwa na UN na wapalestina wakaanzisha kitu kinaitwa al nakba mpaka leo hii inaadhimishwa mwezi wa 4 kila mwaka
Mwaka 2000 arafat alikataa 2 state solution na wakati huo gaza ilikuwa chini ya israel aliyeichukua wakati wa vita ya mwaka 1967
Kasome kilichotokea mwaka 1947 na 2000 kwanini usikwe akili na historia ipo waziwewe bado
Hilo ni eneo la wamasai ngoja siku wakifurumsha ndio watajua pa kwendaLeo ukutw hao upareni kwenu ,unaambia hili sio eneo lako ,ni eneo letu tulikuwepo hapa miaka 3,000 iliyopita tukaondoka.
Ukiandika hivi ni rahisi kudanganya wajinga wajinga wasiojua (pengine hata na wewe hujui umedanganywa mahali)Wapalestina walikataa partition ya mwaka 1947 na iko wazi wewe unaongelea mambo ya 1995
Mwaka 2000 arafat alikataa 2 state solution aka walk away na kumbuka mwaka 2000 gaza ilikuwa chini ya israel
Umekaririshwa vibaya sana nawe bila kuchunguza umetaka is Matango-Pori mpaka unaita Wapalestina hata hawapo!!
wewe bado kwenye hiloKasome kilichotokea mwaka 1947 na 2000 kwanini usikwe akili na historia ipo wazi
Warabu hawana akili za kufikiria mbali ndo kinachowaponza mwaka 1947 unapewa proposal unakataa mwanzako anapewa koti UN wewe unaenda kutumia silaha alafu baadae unalalamika unaonewa
Kwanini usichukue kwanza kiti UN ndo mambo mengine yaendelee
Hakuna binadamu mwenye entitlement mentality ya kipuuzi kama Myahudi.Ukiangalia hii ramani utagundua mwanadamu ni mtu mmoja mbinafsi sana na mkatili
Angalia eneo la israel ambalo anatuhumiwa na eneo ambalo liko chini ya warabu
View attachment 3676512
Kuna member amewatuhumu wayahudi wanaroho mbaya ila ukienda israel waislamu wamejaa na misikiti ipo ila nenda palestina
Moja ya propaganda kubwa sana inajengwa ni kwamba wayahudi ni watu wabaya ila ukienda israel utashangaa sana
Mfano ukienda israel kuna misikiti mingi sana na waislamu wanasali free bila usumbufu na kuna waislamu wanatumia israel passport
Waislamu waishia israel ni watu million 1.85 (million moja na laki 8 na elfu 50 na ni karibia asilimia 18.6 ya population ya israel-israel wanamapungufu ila wanatakiwa kupongezwa kuruhusu uwepo wa waislamu nchini kwao
Ila sasa nenda palestina nikimanisha yale maeneo ambayo kuna warabu wengi westbank na gaza ni ngumu sana kumkuta myahudi au sinagogi walishafanyiwa fujo wakaondoka ila wao ndo wakwanza kulalamika wanaonewa
Ila kinchi chake ni kidogo sana ila anatuhumiwa kuwa na mentality ya kipuuziHakuna binadamu mwenye entitlement mentality ya kipuuzi kama Myahudi.
Kitabu chako kinasemaje juu Israeli na mayahudi? Je, walianza 1948?Acha porojo wewe ,waliishije kabla ya mwaka 1948 ? waislamu wangapi?..Uliona wapi watu wapakana halafu wana asili tofauti kabisa...Israel jina la mtu au nchi ,na hiyo nchi jina limeanza 1948.
Hwa mazayuni ni wazungu kutoka ulaya walipofurumushwa , ilikuwaje waanzishe taifa mwaka 1948?Kitabu chako kinasemaje juu Israeli na mayahudi? Je, walianza 1948?
Nasubiri jibu!!Hwa mazayuni ni wazungu kutoka ulaya walipofurumushwa , ilikuwaje waanzishe taifa mwaka 1948?