Ukiangalia hizi wasifu za baadhi ya nchi za Afrika upande wa Mawaziri wa Afya utagundua Tanzania tuna safari ndefu sana

Ila kiukweli Tanzania tunatia kichefuchefu. Huyo Jenister ata wizara ya elimu ya msingi haiwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…