Ukiangalia jinsi Rais Ruto alivyopokelewa kwa heshima Marekani utashangaa

Kea sababu Samia mshamba, hajui anataka nini. Hana big picture agenda. Anaenda kusaini MoUs za biashara tu.

Any fool can do that.

What is Samia's big picture agenda?

Hujajibu swali hili.
Mi ninachojua inapohusu suala la economic diplomacy ni promotion of deeper economic cooperation

Haya na wewe tuambie sasa kwa nini ziara za Samia hazina faida kwa taifa?
 
Kumuunga mkono ni tatizo lenu.

Samia kasimamia nini?
 
Mi ninachojua inapohusu suala la economic diplomacy ni promotion of deeper economic cooperation

Haya na wewe tuambie sasa kwa nini ziara za Samia hazina faida kwa taifa?
Samia ni bendera kufuata upepo, wewe na yeye hamna tofauti, ndiyo maana wewe unamkubali na huwezi hata kuelezea anasimamia nini zaidi ya the unashamedly vague boilerplate "promotion of deeper economic cooperation".

That is boilerplate.

Huwezi kuweka big picture agenda ya Samia, kwa sababu hana.
 
Ila cha kushangaza hakutaka Watanzania wajue Kiingereza kama yeye mzee mchonga alifeli sana
Alikwambia hivyo lini?

Toka aage dunia hadi leo bado hujui hiyo lugha, lakini huoni hata aibu kujitangaza wewe ni mjinga..., hapana, mpumbavu ndilo neno sahihi kwa mtu kama wewe.
 
Haya majadiliano yamenionyesha kuwa Kiranga kumbe kwenye mijadala huwa hauna hoja za msingi

Mimi sio shabiki wa Samia lakini sijaona hoja zozote za msingi za kumkosoa kwenye ziara zake
 
Alikwambia hivyo lini?

Toka aage dunia hadi leo bado hujui hiyo lugha, lakini huoni hata aibu kujitangaza wewe ni mjinga..., hapana, mpumbavu ndilo neno sahihi kwa mtu kama wewe.
Wewe umeniattack mimi bila sababu za msingi, kama unataka tufanye mazungumzo kwa Kiingereza tunaweza kuanza hata sasa kwenye huu mjadala

Lakini ukweli unaujua jinsi hii lugha ya Kiingereza inavyowapiga chenga mamilioni ya Watanzania. Hizi lawama lazima ziende kwake kwa sera yake ya kuchagua Kiswahili kama lugha ya kufundishia tangu primary
 
Nimeshataja
That was some vague cut and paste boilerplate ambayo unaweza kuisema kwa kila rais, in fact inatakiwa kuwa katika job description. Hicho si ninachouliza, nauliza Samia yeye ana big picture signature issue gani kama agenda anayo i push?

Hata hujaelewa swali, pengine huna hata uwezo wa kuelewa swali.
 
Pictures Zipo Wapi Ruto Akipokelewa Kwa Heshma
 
Haya majadiliano yamenionyesha kuwa Kiranga kumbe kwenye mijadala huwa hauna hoja za msingi

Mimi sio shabiki wa Samia lakini sijaona hoja zozote za msingi za kumkosoa kwenye ziara zake
Siyo sina hoja ya msingi.

Wewe ndiye huna standard. Unaridhika kirahisi sana. Mimi nakuhoji unipe signature agenda ya Samia katika geopolitics, wewe unaniletea habari za vague cut and paste boilerplate ambazo zinatakiwa kuwa katika job description ya kila rais. Hujaelewa swali. Huwezi kujibu.

Na hili ni moja ya matatizo makubwa Tanzania. Wewe mshamba, rais mshamba. Hivyo huwezi kuona kwamba rais mshamba. Wote washamba, sasa utajuaje kwamba rais mshamba?

Hujaelewa swali. Huna uwezo wa kuelewa swali. Wewe ni kama samaki anayeishi baharini halafu nakuelezea habari za jangwa. Huna hata uwezo wa kuanza kufikiria nakwambia nini.
 
Sasa kama hautaki hiyo unataka nini mkuu mbona haueleweki?
 
Wewe ndiye mshamba ambaye unaona state visit white house kipaumbele.

Swali au kajiswali? Nimekupa jibu la kijiswali bado umeshupaza fuvu

Nilijuaga Kiranga ni mtu smart kumbe una hoja za kijinga na kipuuuzi sana

Uko mwepesi sana kwenye geopolitical issues
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…