secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Makebo ana makebo makubwa sana π.Unakuta makebo ana makebo makubwa π₯
Wakati wa kumlomba Mbuzi kagoma n mwendo wa kupiga makofi makebo yake tuu
Makebo juu ya makebo π₯Makebo ana makebo makubwa sana π.
Hatimaye JF memba anayekwenda kama makebo picha yake mjongeo imepatikana.
Ifike hatua ugomvi wako na Makebo uishe sasa πHatimaye JF memba anayekwenda kama makebo picha yake mjongeo imepatikana.
Cc Financial Analyst Forrest Gump.
Subirini Uzi wenu.Tusio na makebo in secretarybird voice tuna comment wapiπ€£π€£π€£
Mbona umeshaisha. Ninachofanya sasa hivi ni kum-promote ili apate wateja π.Ifike hatua ugomvi wako na Makebo uishe sasa π
Mwambie anikopeshe, makebo yakiwa matamu ntakuwa mteja wake wa kudumu πMbona umeshaisha. Ninachofanya sasa hivi ni kum-promote ili apate wateja π.
Mkuu hv uliingia kijiji gani maana sio kwa kimya kile
Nyash bhana acha nikae kimyaHata mimi signage umuhimu wa Nyashh , tena wenye ma nyashh utawaona wazuri wakiwa na nguo
Yule hana hiana we ongea naye tu.Mwambie anikopeshe, makebo yakiwa matamu ntakuwa mteja wake wa kudumu π
JF iligoma kufunguka baada ya mo-twentinaini nMkuu hv uliingia kijiji gani maana sio kwa kimya kile
Akikupea mtawezana kweli πMwambie anikopeshe, makebo yakiwa matamu ntakuwa mteja wake wa kudumu π
Mm Najua kuyatumia vzr hayo makebo πAkikupea mtawezana kweli π
Hapo utakuwa hujarudi na chochote kitu π huwezi nuniwa bila sababuKuna ile umetoka kzn na stress mishe zimebuma halafu unarudi hm mke kanuna / kelele nyingi.
Hapo ndo utajua umuhimu wa kuangalia tabia kuliko Nyash.
Unakuwa na battle nyengine nyumbani
Wife wa kweli anaelewa kuna kupata na kukosaHapo utakuwa hujarudi na chochote kitu π huwezi nuniwa bila sababu