Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya siasa hazijafeli, wapo mbali sana katika siasa za demokracy, sie bado tupo na siasa za, kipuuzi za detention bila hukumu, Eti unafungwa kwa kutukana picha ya rais, Mambo ya kipuuzi kabisa, Kenya imechangamka, watu wanajielewa, sawa kind ufisadi na ukabila mkubwa, lakini hata kwetu udini na ujinga ni mkubwa, Bora uwe maskini lakini upo hai unachakalika, bongo tupo hai, lakini tupo kwenye coma, we are brain dead! Kenya wametuacha kwa karne nzima,Huo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki
Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana
Makanga na Dereva wote Must Go 😂😂😂😂
Wowote mnaotetea CCM ni akili mgando, wabinafsi na hata mafisadi wanaofaidika na siasa za matumboni.Huo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki
Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana
Makanga na Dereva wote Must Go 😂😂😂😂
Elimu,uwezo wa wakenya kufikiri,kutenda na upstairs uko juu mara 1000 ya wabongoHuo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki
Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana
Makanga na Dereva wote Must Go 😂😂😂😂
Kama Mbowe na Jon Mrema 😀..umesahau wakati wa Magufuli ukabila ulivyoshamiri mpaka akawa anahutubia kikwao.
Huo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki
Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana
Makanga na Dereva wote Must Go 😂😂😂😂
Huo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki
Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana
Makanga na Dereva wote Must Go 😂😂😂😂
Na Elimu piaTatizo LA Kenya ni Ukabila tu
Lengo kuu la siasa kwa nchi yoyote ile ni kupata maendeleo. Hivyo basi Ifahamike kuwa maendeleo ya Kenya ni makubwa kuliko Tanzania.Huo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki
Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana
Makanga na Dereva wote Must Go 😂😂😂😂
Maendeleo gani?Lengo kuu la siasa kwa nchi yoyote ile ni kupata maendeleo. Hivyo basi Ifahamike kuwa maendeleo ya Kenya ni makubwa kuliko Tanzania.
Tena masikini fukara hohe hahe kabisa..Hizo siasa za ccm Tanzania zinaisaidiaje nchi kama bado sisi ni nchi masikini?
Mkuu una maana wewe ni maiti unaechat humu Jf?Hakuna ugumu wowote wa kutawala maiti. Kama huamini nenda mortuary ukaone kama kuna tatizo lolote kwa yule muosha maiti.
Pamoja na majigambo ya kijinga bado bajeti ya Kenya wasio na raslimali za kutuzidi inatunguka mara moja na nusu. Tanzanite ambayo inapatikana Tanzania tu Kenya ndio wauzaji na wanufaika wakubwa. Na kumbuka siasa ndio inatengeneza sera,halafu unaamka usingizini unasema wewe ni baba wa siasa, kwenye nchi ambayo wabunge na madiwani walipachikwa. Rejea aliyekuwa mkuu wa wilaya Longido na kazi mliyoifanya maporini. Labda ujilinganishe na Burundi.Huo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki
Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana
Makanga na Dereva wote Must Go 😂😂😂😂
Unauliza hirizi Tanga?!Mkuu una maana wewe ni maiti unaechat humu Jf?
Basi uongozi wa Jf inabidi watimize majukum yao kutondolea wafu humuUnauliza hirizi Tanga?!
Kenya ipo mbele ya Tz kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na siasa wala tusijilinganishe nao kwa sasa. Kenya ndio hub ya kampuni na mashirika ya kimataifa kwa hapa East Afrika. Kuliko kusifu vitu vya kijinga, tuje ni mkakati wa kuboresha elimu, miundombinu, diplomasia, uchumi ili tuwe giant of Afrika.Huo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki
Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana
Makanga na Dereva wote Must Go 😂😂😂😂