Ukiangalia Siasa za Kenya zilivyofeli utakubali Ukweli' kuwa CCM ndio baba wa Siasa Afrika Mashariki!

Hakuna ugumu wowote wa kutawala maiti. Kama huamini nenda mortuary ukaone kama kuna tatizo lolote kwa yule muosha maiti.
Cha ajabu maiti mojawapo ni wewe lakini kwa kujipapatua tu hujambo.Wewe huwa unampa tabu muosha maiti?
 
Kenya ipo mbele ya Tz kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na siasa wala tusijilinganishe nao kwa sasa. Kenya ndio hub ya kampuni na mashirika ya kimataifa kwa hapa East Afrika. Kuliko kusifu vitu vya kijinga, tuje ni mkakati wa kuboresha elimu, miundombinu, diplomasia, uchumi ili tuwe giant of Afrika.
Usichokijua ni kwamba Wakenya wengi hali zao ni za kimasikini kweli kweli wengi wao hawana hata ardhi inamilikiwa na watu wachache sana wanasiasa na wageni. Hayo Makampuni unayoyasema ni ya wageni toka Ulaya, India na Marekani na Wakenya wachache sana ndio wanafaidi. Kenya imekuwa hub ya kupitishia mali za wizi zinazotoka nchi mbalimbali za Afrika kama ambavyo walivyokuwa wanatumika kutuibia Tanzanite kupitia Wahindi kwa kiasi tunaendelea kuwathibiti tangu Serikali ya Awamu ya 5 hadi sasa hivi.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Siasa za Kenya za kipumbavu mno. Ukabila wao umetukuka. Shukrani kwa waasisi wa Taifa hili kupiga marufuku ukabila. CHADEMA wanapambana kuwe na ukabila plus udini ila wananchi wameshawashtukia na tayari watakiadhibu CHADEMA kwenye sanduku la kura.
Kwani Usipowataja chadema unajisikiaje?! Serekali imesajili vyama vyenye SIASA za udini na ukabila? Kwahiyo serekali NI wajinga? Ucha kunuka uchawa!!
 
Huo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki

Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana

Makanga na Dereva wote Must Go 😂😂😂😂
CCM ipo vizuri sana iwapo tu itaacha ku manipulate vyombo vya ulinzi na usalama Kwa faida ya watu binafsi
 
Huo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki

Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana

Makanga na Dereva wote Must Go 😂😂😂😂
Siasa wanaiogopa,kwao ni siii hasaaa,kwa hisani ya$
 
Siasa za Kenya za kipumbavu mno. Ukabila wao umetukuka. Shukrani kwa waasisi wa Taifa hili kupiga marufuku ukabila. CHADEMA wanapambana kuwe na ukabila plus udini ila wananchi wameshawashtukia na tayari watakiadhibu CHADEMA kwenye sanduku la kura.
Wewe ni pumba.vu
 
Huo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki

Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana

Makanga na Dereva wote Must Go 😂😂😂😂
Mkuu huu ni UKWELI mchungu japo wale pingapinga watakupinga
 
Umeandika ujuha mtupu wa kichawa bin ukunguni!
Huwezi kulinganisha siasa za Kenya za watu wanaojitambua na za Bongo wa watu machawa na wasiojielewa!
CCM ipo hapo ilipo kwa nguvu ya dhuluma, wizi na unyanganyi unaofanywa ukisimamiwa na vikosi vya usalama !
Tumefikia hadi kutekana, kutesa na kuua wapinzani ili tu ccm iendelee kutawala bila ridhaa ya wananchi.
ila yana mwisho na mwisho wake ni mkubwa
 
Huwezi kulinganisha siasa za Kenya za watu wanaojitambua na za Bongo wa watu machawa na wasiojielewa!
Nafuu tuishi siasa hizo unazoita za watu wasiojitambua na za watu machawa kuliko kuishi kwenye jamii yenye UKABILA na unyama kama Kenya
 
Huo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki

Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana

Makanga na Dereva wote Must Go 😂😂😂😂
Kenya watu wanaongea mawazo yao. Huko kisiwani kwenu naskia hata sura ya mtu kwenye kipande cha karatasi inapigiwa saluti.
 
Usichokijua ni kwamba Wakenya wengi hali zao ni za kimasikini kweli kweli wengi wao hawana hata ardhi inamilikiwa na watu wachache sana wanasiasa na wageni. Hayo Makampuni unayoyasema ni ya wageni toka Ulaya, India na Marekani na Wakenya wachache sana ndio wanafaidi. Kenya imekuwa hub ya kupitishia mali za wizi zinazotoka nchi mbalimbali za Afrika kama ambavyo walivyokuwa wanatumika kutuibia Tanzanite kupitia Wahindi kwa kiasi tunaendelea kuwathibiti tangu Serikali ya Awamu ya 5 hadi sasa hivi.
Kuna kitu unapaswa kukijua vizuri, Tanzania ina ardhi nzuri na eneo kubwa kuliko Kenya. Ingekuwa Wakenya ndio wapo Tanzania, wangeweza kuongoza hii Afrika.
Kuhusu kukosekana usawa wa kiuchumi, hii ni kawaida katika mfumo wa capitalism, hata hapa Tz, wakati kuna watu wana magorofa, gari za 500+ huku wengine hata uwanja tu hawana.
Kusema Kenya ni HQ ya kampuni za kipigaji, hii hoja haina mashiko, gesi, madini na wanyamapori wetu walipigwaje? Pia hoja kuwa investments ni za wageni nayo haina tija, ni mara ngapi tumekuwa tukitafuta wawekezaji kutoka nje saa nyingine bila mafanikio? nchi nyingi hata zenye uchumi mkubwa zina uwekezaji kutoka nchi nyingine.
 
Siasa za Kenya za kipumbavu mno. Ukabila wao umetukuka. Shukrani kwa waasisi wa Taifa hili kupiga marufuku ukabila. CHADEMA wanapambana kuwe na ukabila plus udini ila wananchi wameshawashtukia na tayari watakiadhibu CHADEMA kwenye sanduku la kura.
Hiko chama hakitakuja shika Dola hata kwa bahati mbaya.
 
Sema hivi, CCM ni Baba wa wizi wa kura Africa.
 
Kuna kitu unapaswa kukijua vizuri, Tanzania ina ardhi nzuri na eneo kubwa kuliko Kenya. Ingekuwa Wakenya ndio wapo Tanzania, wangeweza kuongoza hii Afrika.
Kuhusu kukosekana usawa wa kiuchumi, hii ni kawaida katika mfumo wa capitalism, hata hapa Tz, wakati kuna watu wana magorofa, gari za 500+ huku wengine hata uwanja tu hawana.
Kusema Kenya ni HQ ya kampuni za kipigaji, hii hoja haina mashiko, gesi, madini na wanyamapori wetu walipigwaje? Pia hoja kuwa investments ni za wageni nayo haina tija, ni mara ngapi tumekuwa tukitafuta wawekezaji kutoka nje saa nyingine bila mafanikio? nchi nyingi hata zenye uchumi mkubwa zina uwekezaji kutoka nchi nyingine.
Wawekezaji wa nje wanaowaza kupiga resources za taifa letu TZ wanashindwa kuja kwa sababu ya Katiba na Sheria zetu zinawalinda watz zaidi kwa mfano ardhi ya TZ haiwezi milikiwa na wageni ndio sababu kubwa ya wawekezaji uchwara wa nje hawawezi kuja hapa TZ. Azimio la Arusha ndio lililowathibidi wawekezaji uchwara kuja TZ. Na mimi naomba usiku na mchana sheria ya umilikaji ardhi ibaki hivyo hivyo la sivyo vizazi vyetu vitakujapata taabu sana kama tutabadirisha sheria hiyo.
 
Back
Top Bottom