permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Mwezekezaji wa nje akitaka ardhi anapata kupitia TIC. Hata hivyo, ardhi yetu imeendelea kutwaliwa na Wahindi na Waarabu hivyo kuwa na matokeo yale yale.Wawekezaji wa nje wanaowaza kupiga resources za taifa letu TZ wanashindwa kuja kwa sababu ya Katiba na Sheria zetu zinawalinda watz zaidi kwa mfano ardhi ya TZ haiwezi milikiwa na wageni ndio sababu kubwa ya wawekezaji uchwara wa nje hawawezi kuja hapa TZ. Azimio la Arusha ndio lililowathibidi wawekezaji uchwara kuja TZ. Na mimi naomba usiku na mchana sheria ya umilikaji ardhi ibaki hivyo hivyo la sivyo vizazi vyetu vitakujapata taabu sana kama tutabadirisha sheria hiyo.
Kama siyo Mtz akigundulika ananyang'anywa siku hiyo hiyo. Unamkumbuka yule mhindi alikuwa anamiliki ardhi huko Mwanza baada ya kugundulika ana uraia wa UK alinyang'anywa ardhi instantly. Na uzuri wa TZ hatumiliki ardhi bali tuna-rent ardhi.Mwezekezaji wa nje akitaka ardhi anapata kupitia TIC. Hata hivyo, ardhi yetu imeendelea kutwaliwa na Wahindi na Waarabu hivyo kuwa na matokeo yale yale.
Wajulishe, kuna button ya report hapo chini.Basi uongozi wa Jf inabidi watimize majukum yao kutondolea wafu humu
Unauliza au unapigia jibu mstari?Cha ajabu maiti mojawapo ni wewe lakini kwa kujipapatua tu hujambo.Wewe huwa unampa tabu muosha maiti?
Hujui tofauti ya kuuliza na kuulizwa?Dead man talking!Unauliza au unapigia jibu mstari?
Ili ujue ccm ni baba au mama ingefaa kama umchukue samia na chawa wake wote umuweke kwenye kiti cha rutoHuo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki
Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana
Makanga na Dereva wote Must Go [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ruto huyu huyu wa " Makanga na Dereva wote Must Go" ? πππIli ujue ccm ni baba au mama ingefaa kama umchukue samia na chawa wake wote umuweke kwenye kiti cha ruto