um3tumia kig3zo gani ambacho ni 'globally accepted' kujua kuwa hizo ulizozisikia ni pumba!?Mara mia wauawane tujue sio kuongea pumba yaani kushindwa kuficha ujinga
😂😂 😆 kweli mimi mpk leo shabiki wa Nyumbu ,ila mpira nimeona jinsi unavyowaendesha watu kama machizi mpango wa kuachana na mpira nilianza tokea Man U haijashuka kiwango .Bila shaka wewe ulikuwa shabiki wa man utd na ushabiki wako ulikuwa umepitiliza. Baada ya kuona timu inekwenda mrama ukaona uachane na mpira [emoji1787]
Sasa mkuu hutaki watu washabikie mpira, muziki, siasa unataka waishije sasa!? Maana hapa bongo industry nzima ya burudani ipo hapo kwenye hizo vitu.
Hebu kuwa siriaz kdg
Nje ya madaIshi maisha yako....
Fanya ukipendacho....
Tambua mipaka yako...
Moja kati ya sifa ya ushabiki ni kutozingatia uhalisia.
Shabiki ataongea chochote ilimradi afurahi tu.
Nasio kosa/ujinga kwa shabiki kuongea bila uhalisia kwa sababu huo ndiyo ushabiki.
Hata Yanga/Simba ikicheza na Real Madrid full kikosi, bado shabiki atatea timu yake hata kama nafsi itamsuta.
All over the world mashabiki hufanana tabia.
Ndiyo maana kuna muda utasikia..
"kwenye hili suala tuondoe ushabiki"
Wewe ni mimi mtupu[emoji23][emoji23] [emoji38] kweli mimi mpk leo shabiki wa Nyumbu ,ila mpira nimeona jinsi unavyowaendesha watu kama machizi mpango wa kuachana na mpira nilianza tokea Man U haijashuka kiwango .
Maana mpira ulinikaa sana nilikuwa siwezi kukosa mechi yeyote ile hata sidii ,video YouTube ni football kea sana nikaanza mdogo mdogo kujizoesha mambo mengine kama usomaji wa vitabu , historical movies ,games sasa mpira kwangu kitu cha kawaida sana naweza kuzicheka hata timu zangu zikifungwa sasa nimejikomboa kwenye 'mental slavery' kwenye mambo ya mpira ,miziki na siasa nipo barid kabisa .
Hiyo tunaita ni ume-evolve[emoji23][emoji23] [emoji38] kweli mimi mpk leo shabiki wa Nyumbu ,ila mpira nimeona jinsi unavyowaendesha watu kama machizi mpango wa kuachana na mpira nilianza tokea Man U haijashuka kiwango .
Maana mpira ulinikaa sana nilikuwa siwezi kukosa mechi yeyote ile hata sidii ,video YouTube ni football kea sana nikaanza mdogo mdogo kujizoesha mambo mengine kama usomaji wa vitabu , historical movies ,games sasa mpira kwangu kitu cha kawaida sana naweza kuzicheka hata timu zangu zikifungwa sasa nimejikomboa kwenye 'mental slavery' kwenye mambo ya mpira ,miziki na siasa nipo barid kabisa .
Ushabiki wa soka bongo ni wa kipumbavu, kishamba na kijinga. Kukejeli mtu binafsi kwao ndo ushabiki. Mara ngapi unasikia Babra wa Simba anadhihakiwa kwa sababu ya uanamke wake na watu wanaona sawa tu kwa kuwa hayupo upande wao?! Mara ngapi Manara anaitwa Sope, Takadini, Zeruzeru na tunachekelea tu tunaona sawa.Kila mtu ana starehe yake, kama wewe hupendi mpira waache wanapenda Kwa sababu zinawatoa stress
YAh,kweli kabisa hata mimi mpaka leo nacheki ila kwa kuchagua mechi mfano Uefa kuanzia robo final tena mechi kali .Hiyo tunaita ni ume-evolve
Kutoka kwenye mampira mpaka kwenye vitabu [emoji122]
Still, mpira bado ni mchezo wenye ufuasi mkubwa duniani na music ndio burudani pekee inayowatia wengi faraja.
Na mtu anaweza kuwa mshabiki mzuri wa mpira au mziki lkn bado akabakia kuwa smart na mwenye mchango chanya kwa familia yake na jamii. Haifai kuwaona wengine 'wajinga' na 'wapumbavu' kama jinsi baadhi ya wachangiaji hapa wamewaita eti kwa sababu tu ni mashabiki lialia wa Simba/Yanga.
Nb: starehe ya mwenzio isiyo starehe yako machoni pako ni ujinga/upotezaji wa muda. Tuvumiliane
🚮🚮Point less from certified female paradoy idiot
Ukitaka kujua pumba zake mpambanishe na jopo la Marais wastaafu.Ushawahi muona jk anaongea pumba?
hii point haikua na haja, kila mtu na starehe yake
huenda na wewe ukikutwa kwenye pombe watu watakuita mjinga hivyo hivyo.
Utakuwa ni mmoja waliopewa mic ukaongea ujingaUnajikuta wewe ndio punguani usiye na akili. Unapangia watu starehe na vitu vya kufanya. Unajisikiaje mama yako kuonekana hamnazo kumkubali baba yako pengine maskini mchafu.
Hao UK, Spain wanajaza uwanja au kununua tiket zoote kabla ya msimu kufuata nini. Usipangie watu mapenzi
Boss embu fuatilia kwanza ndo uponde watanzania wenzako kwa kuwalinganisha na hao. Wale wanahistoria mpaka za visasi vya kuuana sabb za ushabiki.