triga
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,029
- 5,710
um3tumia kig3zo gani ambacho ni 'globally accepted' kujua kuwa hizo ulizozisikia ni pumba!?Mara mia wauawane tujue sio kuongea pumba yaani kushindwa kuficha ujinga
Kwa kutumia akili yako huna mamlaka ya kudai alichoongea mtu mwingine ni pumba (bias). Kila mtu ana akili yake na inajudge vitu kulingana na mtu mwenyewe. Unachokiona pumba mwenzako anaweza kukiona 'point'. Tatizo linakuja pale unapojipa mamlaka na kuhisi akili yako inaweza kutumika kama kipimo pekee 'duniani' cha kupima 'pumba na point'