rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Wewe ndio una tatizo Mimi mpira ni starehe yangu namba moja hao wanaotukanana ni tabia zao ambazo zimetokana na malezi waliyokuliaUshabiki wa soka bongo ni wa kipumbavu, kishamba na kijinga. Kukejeli mtu binafsi kwao ndo ushabiki. Mara ngapi unasikia Babra wa Simba anadhihakiwa kwa sababu ya uanamke wake na watu wanaona sawa tu kwa kuwa hayupo upande wao?! Mara ngapi Manara anaitwa Sope, Takadini, Zeruzeru na tunachekelea tu tunaona sawa.
Kwako hiyo ndo starehe?! Kama inakutoa stress fresh tu basi kuna tatizo mahali.
Labda kwa hiyo ccm lakini hata huko Spain,Uk,Germany kuna machizi soka zaidi ya huku...na ndiyo watu huko hununua ticket za msimu mzimaMtu mzima ukiona anashabikia
Ccm
Simba na Yanga fahamu hayuko sawa kichwani
Ungesema wameongea nini ili tujue, kushabikia simba au yanga sidhani kuwa ni tatizo, hayo uliyasikia kika mtu na upeo wake.Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .
Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala
Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
Nadhani kama unashindwa kuelewa hao ni watani wa jadi na kinachofanyika hapo ni utani na sio kitu cha kuchukulia serious huenda mkosa akili hapo sio hao unaowasema bali ni wewe unayewadharau hao ambao wanakula good timeWakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .
Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala
I Concur....Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
Au hafuatilii mpira imetokea tu akaona ushabiki wa hapa kwetu.Huyu atakuwa bado mtoto,Napoli washabiki wanakanyagana kwa sababu tu ya kutaka kumuona Maradona
Kuna mmoja husikika redioni anasema anaipenda timu yake kuliko mama yake mzazi aliyemzaa, huyo ni mtanzania ana familiaWakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .
Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala
Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
Maradhi ya moyo, presha sijui, naamini yatakaa mbali nawe kwa uwezo wa molaNasapoti mkuu..
Mimi nimekuwa mshabiki wa mpira toka enzi lakini nigundua ni upuuzi ila basi tunafosi tu .Yaani inatokea mtu hauli ,hauna raha unagombana na mwenzio kisa matokeo ya mpira kitu ambacho hauna control nacho huku wachezaji wakipata marupurupu na mechi ikiisha kufurahi na kupeana mikono wakati mwingine.
Miziki huko upuuzi umejaa mtu anakujaza hisia feki anaimba mambo ambayo hayana uhalisia na upuuzi kibao . Wakati mwingine wanatunafkia mtu anaimba anapesa anateseka kapuku unaona umepata faraja kumbe mwenzako anakula bata la nguvu.
Siasa ndio kabisa sina ushabiki wala sijawahi kupoteza nguvu zangu kupiga kura naona maigizo tu haswa hapa bongo..
[emoji23][emoji23][emoji23]yanga wanakauoga flani iv kamejificha alafu kale kamvua kamepiga nasikia kamefuta uchawi waosasa wanangu tukiwa serious kila mahali maisha yataenda kweli?
sometimes tunahitaji vitu za namna hii,kitu yenyewe ni once kwa mwaka
huwezi kwepa hizi mambo,yote hayo yanakamilisha kitu inaitwa Entertainment
Mpira ume combine mambo kbao mzeiya, ujinga nao muhimu, binafsi siwezi
kuwa serious siku kama ya leo,naongea pumba pumba tu,nichukulie utakavyopona "mi fresh tu"
Nasema hiiviiii nauza jezi za Simba ukinunua 1 nakupa nyongeza jezi ya yanga FREE
iwe iwavyo leo Yanga wanakaa tena wanakaa chini na miguu wananyoosha,siwezi kuwa serious mimi leo.
Kuna vijana kama 6 wamepakizana kwenye pikipiki moja kutoka Chalinze wanakwenda Dar kwa mwendo wa hatariWewe unastahili cheti.
Nikikutana na Mtu anayeona hivi. Namnunulia bia.
Hakuna kitu kinanikera kama siku ya Leo.
Mtu mzima ukiona anashabikia
Ccm
Simba na Yanga fahamu hayuko sawa kichwani
Unajua kispanish wewe?Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .
Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala
Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
Labda kweli kwani we ulifikir kina mama wote duniani wanapendwa kama unavompenda mama ako wengine ni kina mama alafu wazinguaji tu mapenzi yatatoka wapi mwache mwana aendelee kushow love[emoji3060]Kuna mmoja husikika redioni anasema anaipenda timu yake kuliko mama yake mzazi aliyemzaa, huyo ni mtanzania ana familia
Mkuu ukifikiri vizuri utsgundua hata wewe una upumbavu kama ifuatavyo;Leo ndiyo nmeamini we are still dark country