Rose Gabriella
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 603
- 583
Long live samia Rais bora africa na dunia kwajumla.kwa kuishinda corona.Mwanasiasa wa upinzani anapopingana na samia jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania UMEME: Ukipingana na samia watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji.
Binafsi naona Rais Samia anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania.Long live samia Rais bora africa na dunia kwajumla.kwa kuishinda corona.
Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Samia ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu. Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia.Binafsi naona Rais Samia anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania.
Bwana mkubwa Mbowe kama unapita hapa nakuomba ikiwezekana tembea kwa magoti hadi chamwino ukaombe radhi kwa Rais Samia la sivyo mtakufa tu mtakuwa mmekaidi sauti ya Mungu.Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Samia ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu. Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia.
Chama changu cha CCM chini ya Rais Samia kipo busy kujenga Nchi ila vyama vingine vinashindana kuhutubia Facebook.Bwana mkubwa Mbowe kama unapita hapa nakuomba ikiwezekana tembea kwa magoti hadi chamwino ukaombe radhi kwa Rais Samia la sivyo mtakufa tu mtakuwa mmekaidi sauti ya Mungu.
Wapinzani wanokosa adabu wanapotaka kujilinganisha na Rais Samia Huyu Samia ana uwezo mkubwa sana ujue?Chama changu cha CCM chini ya Rais Samia kipo busy kujenga Nchi ila vyama vingine vinashindana kuhutubia Facebook.
Na pia hivi lile genge' lililompangia ziara ya tanga wakati magufuli yu mahututi (au alishakufa?) lilikuawa a
Na pia ni kwanini alimtengua bwana Kakurwa kuwa katibu mkuu kiongozo akiwa amehudumu kwa muda usiozid miezi 2 wkt alipokuwa anateuliwa aliona anafaa?.Na pia hivi lile genge' lililompangia ziara ya tanga wakati magufuli yu mahututi (au alishakufa?) lilikuawa na lengo gani?
🏃🏽♂️🏃🏽♂️🏃🏽♂️Nitamuuliza yafuatayo...
1. Kwanini anapenda Kurembua sana?
2. Sauti yake ya Kimahaba katoa wapi?
3. Je, alishwahi Kuchepuka kwa Mume?
4. Anauzungumziaje Usagaji nchini?
5. Anawapenda Wakristo na Ukristo?
6. Kitaaluma kasome Fani ipi / gani?
7. Nae anapenda Kuibiwa Mume?
Kwa kuishinda corona?. Nakumbuka hata awali walidai hvyo kua tupo salama.Long live samia Rais bora africa na dunia kwajumla.kwa kuishinda corona.
Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020
Hakika ulikua uchaguzi bora kabisa na wa wazi kuliko yote iliyowai kufanyika. Viongozi wote walipita kwa haki.Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote
Hivi unajua kuwa samia ni Rais bora africa kwa sasa?Wapinzani wanokosa adabu wanapotaka kujilinganisha na Rais Samia Huyu Samia ana uwezo mkubwa sana ujue?
Utamuuliza swali gani la msingi?Nitamuomba aongeze nguvu kwenye miradi yote mikubwa aliyoicha JPM ili iweze kukamilika kwa wakati na mengine ianze kwa wakati.
Utafiti umefanyika Samia anakubalika kwa zaidi ya 90% Ccm inakubalika kwa 70% Hii inamaanisha kuwa Rais Samia kwa uchapakazi wake amevuta watu wengi sana kujiunga na Ccm.Hivi unajua kuwa samia ni Rais bora africa kwa sasa?
Mafisadi wa CHADEMA wana hofu ya kushindwa na Rais mama Samia. Wanajua Rais Samia lazima awashughulikie ndio maana hawataki apambane naye.Utafiti umefanyika Samia anakubalika kwa zaidi ya 90% Ccm inakubalika kwa 70% Hii inamaanisha kuwa Rais Samia kwa uchapakazi wake amevuta watu wengi sana kujiunga na Ccm.
Rais Samia ni chuma na yupo imara kama SimbaMama??! Miradi ya kimkakati uliyohusika kuiasisi wakati ukiwa Raisi reserve kwa kushirikiana na Raisi mchezaji JPM, utaikamilisha kwa wakati ikiwa ni pamoja na Uwanja wa Chato, Manunuzi ya Ndege zaidi, SGR,Stickers gorge. Nk..,....nb Barabara ya kimkakati ya zege toka njombe Hadi Ludewa ili tuchume chuma yetu ya Liganga.
Hapa wakristu wanasema......shika moyo kabla ya jibu.