Rose Gabriella
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 603
- 583
Long live samia Rais bora africa na dunia kwajumla.kwa kuishinda corona.Mwanasiasa wa upinzani anapopingana na samia jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania UMEME: Ukipingana na samia watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji.