Ukibahatika kukutana na Rais Samia utamuuliza swali gani la msingi?

Maswali mawili:
1. Kwa nini asimteue Bernard Membe kuwa mshauri wake wa Mambo ya Usalama?
2. Kwa nini anaogopa kivuli Cha bwana yule? Mwisho, ni hasa kilimuua JPM?
 
Mimi nasubiri nione kwanza hiyo IN TRAY itamchukua muda gani kuwa tupu!
 
Nitamuuliza yafuatayo...

1. Kwanini anapenda Kurembua sana?
2. Sauti yake ya Kimahaba katoa wapi?
3. Je, alishwahi Kuchepuka kwa Mume?
4. Anauzungumziaje Usagaji nchini?
5. Anawapenda Wakristo na Ukristo?
6. Kitaaluma kasome Fani ipi / gani?
7. Nae anapenda Kuibiwa Mume?
 
mhhh
 
Mama hapendi kusema Bwana Yesu asifiwe so kaona aseme tu anatusalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano.

Sina swali lolote kwake,,, apige tu hela nae aende zake aje mwingine.

Hii nchi yetu sote, bila katiba ikulu itakuwa ni upigaji tu
 
"Bwana Yesu asifiwe" ina maana gani hii kauli?
 
Mama amekuwa akitaja au kutuambia kuhusu yeye kuunda kamati ya corona ila haelezi japo kidogo tu hiyo kamati ni nini hasa inafanya na ni kipi hasa kilichomsukuma hadi kufikiria kuunda hiyo kamati ya corona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…