Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama katiba mpya ndio injini ya nchi, ktk utawala wako umejiandaaje kuipa kipaumbele na kututoa kwenye huu mkwamo??Utamuuliza swali gani la msingi?
Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums
Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
View attachment 1754058
Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini Tanzania. Alikuwa mbunge wa jimbo la Makunduchi visiwani Zanzibar kuanzia 2010 hadi 2015, na alikuwa waziri wa nchi anaeshughulikia muungano katika muda huo.
Samia Suluhu Hassan ndiye makamu wa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kabla ya kuwa Rais kutokana na kifo cha Rais John Pombe Magufuli, kilichotokea tarehe 17 Machi 2021, Suluhu alikuwa makamu wa Rais kwa sababu ya kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Tarehe 5 Novemba 2015 aliapishwa kama makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mwanamke wa kwanza kufikia cheo hicho, akarudia baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2020.
SWALI: Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
TRAY imejaza haswaa
aiseeKama kweli anataka umoja wa kitaifa urudi na kuondoa uhasama uliokuwapo kwa nini haja mpiga chini Ole Sabaya
OkayNikibahatika kukutana nae nitamuuliza " Ni lini vile visiwa vya MARASHI vitapata mamlaka yake kamili?"
Sawa mkuuMama katiba mpya ndio injini ya nchi, ktk utawala wako umejiandaaje kuipa kipaumbele na kututoa kwenye huu mkwamo??
Ohooo sasa huko unakoenda sikoMimi nitamshauri ikiwezekana amuondoe ndugai mara moja atamuhujumu na halitakii mema taifa,pia awe makini sana na katelephone maja.
Ndo kwenyewe kabisa mkuu, mh rais mwenyewe juzi kakiri kuwa mijadala ya bunge haina afya kwa taifa letu, je anaeliongoza unadhan anastahili??Ohooo sasa huko unakoenda siko
Nitamuuliza yafuatayo...Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums
Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
View attachment 1754058
Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini Tanzania. Alikuwa mbunge wa jimbo la Makunduchi visiwani Zanzibar kuanzia 2010 hadi 2015, na alikuwa waziri wa nchi anaeshughulikia muungano katika muda huo.
Samia Suluhu Hassan ndiye makamu wa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kabla ya kuwa Rais kutokana na kifo cha Rais John Pombe Magufuli, kilichotokea tarehe 17 Machi 2021, Suluhu alikuwa makamu wa Rais kwa sababu ya kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Tarehe 5 Novemba 2015 aliapishwa kama makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mwanamke wa kwanza kufikia cheo hicho, akarudia baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2020.
SWALI: Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
mhhhNitamuuliza yafuatayo...
1. Kwanini anapenda Kurembua sana?
2. Sauti yake ya Kimahaba katoa wapi?
3. Je, alishwahi Kuchepuka kwa Mume?
4. Anauzungumziaje Usagaji nchini?
5. Anawapenda Wakristo na Ukristo?
6. Kitaaluma kasome Fani ipi / gani?
7. Nae anapenda Kuibiwa Mume?
Haya mkuuNdo kwenyewe kabisa mkuu, mh rais mwenyewe juzi kakiri kuwa mijadala ya bunge haina afya kwa taifa letu, je anaeliongoza unadhan anastahili??
Katiba mpya ya nini wakati hii iliyopo inatosha?Kwa nini alisema Katiba mpya tusubiri kwanza
Katiba mpya ya nini wakati hii iliyopo inatosha?
"Bwana Yesu asifiwe" ina maana gani hii kauli?Mama hapendi kusema Bwana Yesu asifiwe so kaona aseme tu anatusalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano.
Sina swali lolote kwake,,, apige tu hela nae aende zake aje mwingine.
Hii nchi yetu sote, bila katiba ikulu itakuwa ni upigaji tu
Umekuwa mwanasiasa siku hizi? Wewe si unashindaga jukwaa la sports kule kubishana mambo ya Manara?Katiba mpya ya nini wakati hii iliyopo inatosha?