Ukibahatika kukutana na Rais Samia utamuuliza swali gani la msingi?

Mama Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi unatuletea lini? Swali la nyongeza wale Covid-19 lini utawatimua mjengoni?
 
Mama Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi unatuletea lini? Swali la nyongeza wale Covid-19 lini utawatimua mjengoni?


Atakuwa ameweka Legacy kubwa sana ya kukumbukwa na hata vizazi vya sasa na vijavyo!

Wenzetu Kenya Mbona ni jambo rahisi na linalowezekana kuandika Katiba pale inapohitajika?

Kanini Tanzania inaonekana kama jambo hilo ni kwa kutegemea hisani ya Rais anayeongoza?

Tanzania tunakwama wapi?

Tujifunze toka kwa jirani na ndugu zetu Kenya.

Wenzetu walishatikaga siku nyingi kwenye mambo ya teuzi teuzi za nafasi za kazi, nafasi nyingi ni za kwa kuomba, interview , vetting n.k

Ni mfano IGP, n.k wanafanya kuomba na kupita kwenye mchujo mkali sana hadi kupatikana.

Halafu inamantiki kubwa kwa mtu kuanza kuomba mwenyewe nafasi au kazi fulani inamaana kubwa kwenye performance results.

Inamuandaa mtu kuwa committed kwa kile anataka kwenda kukifanya.
 
Reactions: BAK
Kabisa Mkuu ndiyo matatizo ya kutoangalia the big picture and thinking outside the box. Anachokiona hapa yeye kama waliomtangulia ni maccm kushindwa uchaguzi lakini anasahau kwamba wapiga kura tutakuwa na choice ya kuamua chama kipi kituongeze kutokana na kufanya vizuri wakiwa madarakani au kubofoa.
 
Watanzania ni watu wenye uelewa wa hali ya juu sana sasa basi tuweke sheria madbubuti kwa wawekezaji wazalendo kuanzia umri wa miaka 18-30 wanaoanzisha makampuni yanayohusiana teknohama wasilipe kodi wafanye kazi katika kipindi cha miaka 5 baada ya hapo waanze kulipa kodi.

Kingine tuje na sera kama taifa ya kupambana na urasimu na kuweka uzalendo mbele ndani nje ya kimataifa.
 
Nink Ni kwa Nini yeye na meko waliapanga kumuua lisu
 
Marais wa Africa na hasa Tanzania hawajibu maswali. Na wakijibu ni heri wasingejibu,
 
Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…