Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #121
Ipo siku utakutana naye mkuu. Mungu mkubwa inshallah.Si mpaka nibahatike kukutana nae!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo siku utakutana naye mkuu. Mungu mkubwa inshallah.Si mpaka nibahatike kukutana nae!
Jiwe ndio nani mzee baba?Je akishindwa kuwapoteza wanyonge aliyowafyatua jiwe kabla ya 2025 tumsaidie?
"Bwana Yesu asifiwe" ina maana gani hii kauli?
Bila shaka amekuelewa huyo jamaa hapo juuMkuu hio ipo hivyo hivyo kama ilivoandikwa
Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums
Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
View attachment 1754058
Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini Tanzania. Alikuwa mbunge wa jimbo la Makunduchi visiwani Zanzibar kuanzia 2010 hadi 2015, na alikuwa waziri wa nchi anaeshughulikia muungano katika muda huo.
Samia Suluhu Hassan ndiye makamu wa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kabla ya kuwa Rais kutokana na kifo cha Rais John Pombe Magufuli, kilichotokea tarehe 17 Machi 2021, Suluhu alikuwa makamu wa Rais kwa sababu ya kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Tarehe 5 Novemba 2015 aliapishwa kama makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mwanamke wa kwanza kufikia cheo hicho, akarudia baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2020.
SWALI: Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Mama Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi unatuletea lini? Swali la nyongeza wale Covid-19 lini utawatimua mjengoni?
Atakuwa ameweka Legacy kubwa sana ya kukumbukwa na hata vizazi vya sasa na vijavyo!
Wenzetu Kenya Mbona ni jambo rahisi na linalowezekana kuandika Katiba pale inapohitajika?
Kanini Tanzania inaonekana kama jambo hilo ni kwa kutegemea hisani ya Rais anayeongoza?
Tanzania tunakwama wapi?
Tujifunze toka kwa jirani na ndugu zetu Kenya.
Wenzetu walishatikaga siku nyingi kwenye mambo ya teuzi teuzi za nafasi za kazi, nafasi nyingi ni za kwa kuomba, interview , vetting n.k
Ni mfano IGP, n.k wanafanya kuomba na kupita kwenye mchujo mkali sana hadi kupatikana.
Halafu inamantiki kubwa kwa mtu kuanza kuomba mwenyewe nafasi au kazi fulani inamaana kubwa kwenye performance results.
Inamuandaa mtu kuwa committed kwa kile anataka kwenda kukifanya.
Mkwere ni mharibifu Naona kashaanza kujichekeshachekesha.smile Ka loteNitamshauri sana sana sanaal asimpe nafasi na hata kumsikiliza MKWERE.
Ni kwa Nini yeye na meko waliapanga kumuua lisuHabari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums
Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
View attachment 1754058
Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini Tanzania. Alikuwa mbunge wa jimbo la Makunduchi visiwani Zanzibar kuanzia 2010 hadi 2015, na alikuwa waziri wa nchi anaeshughulikia muungano katika muda huo.
Samia Suluhu Hassan ndiye makamu wa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kabla ya kuwa Rais kutokana na kifo cha Rais John Pombe Magufuli, kilichotokea tarehe 17 Machi 2021, Suluhu alikuwa makamu wa Rais kwa sababu ya kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Tarehe 5 Novemba 2015 aliapishwa kama makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mwanamke wa kwanza kufikia cheo hicho, akarudia baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2020.
SWALI: Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Meko ndio nani mkuu?Nink
Ni kwa Nini yeye na meko waliapanga kumuua lisu
Marais wa Africa na hasa Tanzania hawajibu maswali. Na wakijibu ni heri wasingejibu,Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums
Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
View attachment 1754058
Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini Tanzania. Alikuwa mbunge wa jimbo la Makunduchi visiwani Zanzibar kuanzia 2010 hadi 2015, na alikuwa waziri wa nchi anaeshughulikia muungano katika muda huo.
Samia Suluhu Hassan ndiye makamu wa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kabla ya kuwa Rais kutokana na kifo cha Rais John Pombe Magufuli, kilichotokea tarehe 17 Machi 2021, Suluhu alikuwa makamu wa Rais kwa sababu ya kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Tarehe 5 Novemba 2015 aliapishwa kama makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mwanamke wa kwanza kufikia cheo hicho, akarudia baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2020.
SWALI: Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sina uhakika na hii assumption yako mkuuMarais wa Africa na hasa Tanzania hawajibu maswali. Na wakijibu ni heri wasingejibu,
OkayKwanini wanaendelea kuwalipa akina Mdee huku wakidai hawana pesa ya kuongeza mshahara.
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Mkwere ndio nani mzee baba?Mkwere ni mharibifu Naona kashaanza kujichekeshachekesha.smile Ka lote
Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?Watanzania ni watu wenye uelewa wa hali ya juu sana sasa basi tuweke sheria madbubuti kwa wawekezaji wazalendo kuanzia umri wa miaka 18-30 wanaoanzisha makampuni yanayohusiana teknohama wasilipe kodi wafanye kazi katika kipindi cha miaka 5 baada ya hapo waanze kulipa kodi.
Kingine tuje na sera kama taifa ya kupambana na urasimu na kuweka uzalendo mbele ndani nje ya kimataifa.
Kwangu hilo ndilo la msing..Wana mpango madbubuti kuhusu kuwekeza kwa vijana hasa kwenye teknohama kwa vijana wabunifu?Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
Sawa mkuuKwangu hilo ndilo la msing..Wana mpango madbubuti kuhusu kuwekeza kwa vijana hasa kwenye teknohama kwa vijana wabunifu?