kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Watanzania wanahitaji KATIBA MPYA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili sio swali ni maoni. Utamuuliza swali gani la msingi mama yetu?Watanzania wanahitaji KATIBA MPYA
Mkwere alifanya yake mengi sana pia!.Nitamshauri sana sana sanaal asimpe nafasi na hata kumsikiliza MKWERE.
OMUGA, idhi nade ondiek? Wach ma ndalo mang'eny?Uwezekano upo mkubwa ulikutana nae akakuuliza maswali na ukashindwa kutoa majibu!!
mhhhthe fact kwamba anaruhusu polisi wafanye michezo yao ya kihuni ya kuzuwia mikutano ya vyama vya siasa ambayo kimsingi ipo kikatiba, SITAMANI HATA KUKUTANA NAE.
Hapo umenena!! Asimpe nafasi Kabisa!! Vinginevyo ataingizwa chaka!Nitamshauri sana sana sanaal asimpe nafasi na hata kumsikiliza MKWERE.
Wale Covid 19 mama wataondolewa lini???Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums
Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
View attachment 1754058
Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini Tanzania. Alikuwa mbunge wa jimbo la Makunduchi visiwani Zanzibar kuanzia 2010 hadi 2015, na alikuwa waziri wa nchi anaeshughulikia muungano katika muda huo.
Samia Suluhu Hassan ndiye makamu wa rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kabla ya kuwa Rais kutokana na kifo cha rais John Pombe Magufuli, kilichotokea tarehe 17 Machi 2021, Suluhu alikuwa makamu wa rais kwa sababu ya kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Tarehe 5 Novemba 2015 aliapishwa kama makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mwanamke wa kwanza kufikia cheo hicho, akarudia baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2020.
SWALI: Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
mhhhNitamuuliza hayo macho yake au amekula kungu??
Mkuu, bila shaka unamaanisha Halima Mdee, Esther Bulaya, Esther Matiko, Nusrat Hanje pamoja na wenzao.Wale Covid 19 mama wataondolewa lini???
Yani ukutane na mh Raisi uanze kumuuliza maswali! Kwani we mwandishi wa habari? Hapo ni kumpa PETITION (CV) ili akukumbuke kwenye teuzi.Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?