Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Nitamuuliza "Tell about yourself"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh? Interview questionNitamuuliza "Tell about yourself"
Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?Atoe nafasi ya kuandikwa kwa katiba hiyo itakuwa legacy yake kwa vizazi vya sasa na vijavyo.
Badala ya kutegemea utashi, matamko, mtazamo wa Rais aliyepo bora kuweka katiba nzuri itakayopelekea kujengwa kwa taasisi imara ambayo kila ajaye hatakuwa na budi kuifuata.
Siku ikipita bila kuwataja CCM haujisikii raha?Kabisa Mkuu ndiyo matatizo ya kutoangalia the big picture and thinking outside the box. Anachokiona hapa yeye kama waliomtangulia ni maccm kushindwa uchaguzi lakini anasahau kwamba wapiga kura tutakuwa na choice ya kuamua chama kipi kituongeze kutokana na kufanya vizuri wakiwa madarakani au kubofoa.
DJ kama kawaida yako nakuona tuMkuu hio ipo hivyo hivyo kama ilivoandikwa
Sawa mkuuKwenye siasa sina cha kumuuliza kwa sababu ameshajibu mengi kwa kauli zake.
Labda nitamuuliza kwenye maisha binafsi.
Anajisikiaje kuwa mke wa tatu nyumbani, katika ndoa iliyo na wake wawili wakubwa kwake, wakati huo huo yeye ni Head of State?
Je, hatua hii ni ya kushangiliwa kwamba Tanzania mwanamke anaweza kuwa mke wa tatu lakini bado akawa rais? Au ni ya kuhuzunisha kwamba mpaka leo ndoa za mitala zipo na mtu anaweza kuwa rais wa Tanzania lakini nyumbani kwake ni mke wa tatu?
Anawezaje ku reconcile maisha ya ndoa hiyo ya mitala na uongozi wa nchi bila kuleta matatizo kwenye ndoa au uongozi wa nchi?
Mengine yote ya kitaalam kuna wataalam wa serikalini wataweza kujibu kwa utaalamu kuliko yeye.
zitaje hapaNitamuuliza kuwa kama anajua kuwa Taasisi za serikali zimeanza kuvinjari kwenye mahotel badala ya kutumia kumbi za serikali
Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums
Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
View attachment 1754058
Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini Tanzania. Alikuwa mbunge wa jimbo la Makunduchi visiwani Zanzibar kuanzia 2010 hadi 2015, na alikuwa waziri wa nchi anaeshughulikia muungano katika muda huo.
Samia Suluhu Hassan ndiye makamu wa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kabla ya kuwa Rais kutokana na kifo cha Rais John Pombe Magufuli, kilichotokea tarehe 17 Machi 2021, Suluhu alikuwa makamu wa Rais kwa sababu ya kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Tarehe 5 Novemba 2015 aliapishwa kama makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mwanamke wa kwanza kufikia cheo hicho, akarudia baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2020.
SWALI: Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Kwani wewe ni SSH⁉️⁉️😤😤zitaje hapa
Amesema swali la msingi au hujaelewa?Kwanini anawalegezea kamba nyumbu?
alie uliza.ni SSH au mm?Kwani wewe ni SSH[emoji3480][emoji3480][emoji36][emoji36]
Swali la msingi ni lini serikali itaimarisha upatikanaji wa fursa za ajira kwa watoto wa wakulima?Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums
Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
View attachment 1754058
Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini Tanzania. Alikuwa mbunge wa jimbo la Makunduchi visiwani Zanzibar kuanzia 2010 hadi 2015, na alikuwa waziri wa nchi anaeshughulikia muungano katika muda huo.
Samia Suluhu Hassan ndiye makamu wa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kabla ya kuwa Rais kutokana na kifo cha Rais John Pombe Magufuli, kilichotokea tarehe 17 Machi 2021, Suluhu alikuwa makamu wa Rais kwa sababu ya kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Tarehe 5 Novemba 2015 aliapishwa kama makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mwanamke wa kwanza kufikia cheo hicho, akarudia baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2020.
SWALI: Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sawa mkuu. Yatamfikia mama kwa maana wasaidizi wake wapo humu humu.Swali la msingi ni lini serikali itaimarisha upatikanaji wa fursa za ajira kwa watoto wa wakulima?
(A) Mashirika na taasisi za umma yana mikakati gani ya kuongeza ubunifu ili kutengeneza nafasi za ajira kwa vijana?
(B)Mikopo wezeshi kwa vijana kupitia halmashauri inawezaje kuwapatia watoto wakulima mitaji yenye tija ili waweze kujiajiri na kuimarisha uchumi wao ili kupunguza dhana ya kusubiria ajira chache za serikali, tofauti na sasa vijana 10 kupatiwa milioni tatu ambayo haijitoshelezi kutekeleza miradi yenye tija?
(C) Serikali ina mkakati gani kuweka unafuu wa kampuni na taasisi binafsi ili yaweze kutoa ajira kwa vijana kuwapunguzia makali ya maisha?
Kilio chetu ni ajira kwa vijana. Naumia sana kuona vijana wenzangu wanawekewa mazingira magumu ya kuajiriwa au kujiajiri.
Utamuuliza swali gani?Mwisho nitamshauri