ketone
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 509
- 655
Maisha ya kileo wapo wengi wanajuta Kwa sababu ya maamuzi waliofanya wakati wa kuoa ila Sasa hakuna namna ya kufanya kwani walishazaa watoto inawabidi waishi maisha yaende basi.
Wanawake wengi wa siku hizi waeza toka kuitafuta riziki tokea asubui na kurudi jioni na furushi lako mkono ila kamwe usione wa kukuambia pole na hata wakati mwingine hata maji ya kuoga utayachota mwenyewe na hata asubui utajitengea chai mwenyewe..
Ukibahatika kuoa mwanamke anayejua dhamani Yako kwakwe mshukuru Mungu sana..jambo hili linauma sana Kwa wale wanaume wanaojua kutimiza majuku ya familia ila upande wa pili unaishi kama uko mwenyewe..
Mwombe sana Mungu maana wanaume wengi wanaishi maisha hayo wanatamani hata ndoa ingevunjika waanze upya ila njia hamna