Ukibahatika kuoa mwanamke anayekujali, mshukuru sana Mungu

ketone

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
509
Reaction score
655
Maisha ya kileo wapo wengi wanajuta Kwa sababu ya maamuzi waliofanya wakati wa kuoa ila Sasa hakuna namna ya kufanya kwani walishazaa watoto inawabidi waishi maisha yaende basi.

Wanawake wengi wa siku hizi waeza toka kuitafuta riziki tokea asubui na kurudi jioni na furushi lako mkono ila kamwe usione wa kukuambia pole na hata wakati mwingine hata maji ya kuoga utayachota mwenyewe na hata asubui utajitengea chai mwenyewe..

Ukibahatika kuoa mwanamke anayejua dhamani Yako kwakwe mshukuru Mungu sana..jambo hili linauma sana Kwa wale wanaume wanaojua kutimiza majuku ya familia ila upande wa pili unaishi kama uko mwenyewe..

Mwombe sana Mungu maana wanaume wengi wanaishi maisha hayo wanatamani hata ndoa ingevunjika waanze upya ila njia hamna
 
Hapa nimepiga t-shirt 👕 Kali na boksa mpya na Cadette moja matata hizi nguo Jana nights nimekuta wife kaninunulia..

Of course Mimi nilioa mtu anae nipenda Sanaa najua tunafika anniversary nyingi sanaa mungu amtunze huyu mwanamama mama mtoto wangu.

Binafsi nimepata mke anae jua nafasi yake kwenye hii familia yetu.
 
View attachment 3153731
 
Kaka mambo yanavyobadilikaga hata unaweza jua basi?? Ni kama ajali vile hujui nini kimetokea ila cha mwisho unakumbuka ukizinduka ni kwamba uliona dereva anashika brake kwa nguvu halafu baaasi.. miguu juu MOI huna cha kueleza.
Omba sana Mungu
 
Back
Top Bottom