Ukichelewa kuoa unapunguza Muda

Ukichelewa kuoa unapunguza Muda

Wazee wetu wangekuwa wanaogopa kuoa kwa kuangalia matatizo ya ndoa za wenzao. ndhani wengi tusingekuepo.

Matatizo haya ya serve as darasa, lakin yasitumike kama kisingizio
Mkuu tofautisha wanawake wa kale na wasasa,waswahili wanasema ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji tatizo mwenzetu humebatika mwenye maadili ya kali ila ungepata hawa digital nadhani ungeniunga mikono na miguu kwa ninacho ongea
 
marriage is a female institution ndo mana wanawake waanakimbilia sana ndoa
Umeona ,wapo hapa kazi kusetusema kwamba eti sisi waoga...sijui tunakimbia majukumu.wanadhani hatuoni mambo yanoyowakuta wanaume wenzetu walioa .Wengine tumeshasoma mchezo muda sana maana mtu ukienda kanisani unakuta wanawake wanaomba wapate ndoa halafu hapohapo nenda gesti unakuta wake za watu wanachokifanya huko ni aibu .hapo ukifikilia unabaki kusema imbombo ngafu!!!😂🤣😂😅
 
Katika kitu mbacho huwa najutia ni kwanini nilichelewa kuoa. Nilioa kabla sijafikisha miaka 28.

Kuoa kuna raha yake ukishajua kwamba wewe ni mwanaume hasa huwezi kuchelewa kuoa labda ucheleweshwe na mambo ambayo yako nje ya uwezo wako,kwani kwenye Wanaume kuna Wanaume.
Sawa bwana!! sisi hatukupingi omba Mungu ailinde ndoa yako kinyume na hapo sisi tupo pembeni tunakuchora tu namaneno yako ya kejeli eti kwenye wanaume kuna wanaume
 
Shukrani kwa ukumbusho kaka,hili huwa tunaliomba kila siku.

Shukrani. Tuko pamoja.
 
Wazee, embu kamateni wachumba muoe, acheni ulege lege, tutajuaje kama wewe ni wa kiume kama hauna mke.
 
Mkuu tofautisha wanawake wa kale na wasasa,waswahili wanasema ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji tatizo mwenzetu humebatika mwenye maadili ya kali ila ungepata hawa digital nadhani ungeniunga mikono na miguu kwa ninacho ongea
mm naona ni nothing but hofu tu.
Yes wanawake wamebadilika.. and is wanaume.

but one thing ni kuwa. there always wale wenye maadili. wapo ..
the problem is kuwafaham, kuwapata.
usitake kuaminisha kuwa wanawake wote hawafahi kuolewa.
 
Nina mfano..ulio hai ambao umeniumiza sana moyo mpaka waona wanawake kama Mashetani.. na hii imepelekea niko na 36 now..

ila sina mke wala staki hata kimsikia.

Ukweli ni kuwa.. Baba yangu kauliwa na mwanamke wake wa ndoa... na kwa ubaya huo huo wa mwanamke huyo haukuishia hapo.. aka muua na kaka mkubwa wakwanza kisa mali za Baba yetu.. kaka hiyo haitoshi ame waharibu kaka zangu wote wamekuwa kama misukule inayo ishi.. na hadi mimi kanifungia ajira, kaharibu maisha ya familia nzima.. Na mbaya zaidi ana jitapa kabisa kwa marafiki zake kuwa ata tumaliza.. Juzi tu kamtupia Mama yangu Ugonjwa wa ajabu tuka mkimbiza kwenye maombi ndio kapona..

Leo.hii kweli utaniambia nioe mwanamke nilale naye kitanda kimoja??

hapana aisee.. bora kuzaa watoto uko nje ila.siyo kukaa nyumba moja chumba kimoja na mwanamke.. hapana kwa kweli..
 
Kweli mkuu wapo sikupingi
 
Kwani ndoa ina faida gani kama tayari nina watoto wangu kwa wanawake 3 kila moja na mama yake.. na mm naishi kivyangu .. nawa udumia wote kwa upendo.. na nina somesha ..je ndoa ni ili iweje??
Pata picha umepata ajari umevunjika miguu yote miwili au umepofoka macho yote mawili uoni hao wanawake ulizaa nao wameolewa wote au kama awajaolewa wanaishi na mabwana zao au kama hawana mabwana zao bac jua wana wanaume zao.

Point yangu ni hivi ukipatwa na hayo maswaiba jua kwamba huto weza pika huto weza fua nguo utoweza kuoga huto weza fanya chochote kile ndugu zako watakuchukua na ukubwa wako uwo wote sio watakulea weee lakini mwisho wa siku watakuchoka tu.

Je kama ungekuwa umeoa una mke wako arafu umepatwa na hayo majanga ww unazani angekuchoka kweli???c angekuhudumia mume wake angeangaika ma ww kufa na kupona arafu pia utakuwa na heshima ya kuoa mwanamke .

Mzee ndoa ni muhimu mno nipo kwenye ndoa mwaka wa 18 huu nimeoa nikiwa bado kijana msogo(19) mwaka 2002 mno mpaka saizi na miaka 37 nipo kwenye ndoa mke wangu alikuwa na umri wa miaka 17 tuu nilimkuta ana mtoto mdogo ambae sio wangu mm mpaka leo yule dogo ana miaka 20 nimemtafutia kazi dogo anafanya kazi..

Tuna watoto 7 saizi tunaishi kwa upendo na amani nimejionea mengi mno kwenye ndoa tena sana maisha ni kivumiliana akuna alie kamilika kazi ninayo fanya laiti ningekuwa na mwanamke mwingine bac angeniacha mda mrefu sana..

Naweza kaa miezi 4 mpaks mi5 cjarudu home kuna kipindi nilisafiri njee ya nchi nilikaa mwaka mzima sijarudi nyumbani lakini yule mwanamke akaa vzr na familia wanaishi vizuri hana tamaa na wanaume ni mtu wa dini nilipo mtoa Mungu ndo anajua tulipo toka Mungu ndo anajua tumepitia Mengi sana.

Imagine tuna atujafika 40 lakini tuna watoto 7 now na tuna furaha na amani na nikikuonesha huyu ni mke wangu ana miaka 36 ana watoto 7 uwezi amini ila uwo ndo ukweli....

Ndoa ni kuvumiliana ndoa ni taasisi ambayo inahitaji mwanaume jasiri mwenye misimamo mamamuzi magumu yenye busara ndani yake ili maisha yaende ndo sio jambo la kukurupukia tuu hapana ndoa ni taasisi pana sana....fungeni ndoa vijana acheni uoa ndoa ni tamu ukimpata mnae endana...
 
Naam! Ukichelewa kuoa unapunguza muda wa maumivu na mateso ya kujitakia bila sababu! Kama ni watoto utawapata kwa single mother!

Nikifikisha miaka 45 ndio nitaanza kujifikiria kama kutakuwa na ulazima wa kuoa ama hapana! Kama waliooa wake zao kila siku wanapishana maghetto ya wajuba mimi ni nani nikimbilie.

Usinunue kitu ambacho unaweza kupata bure.

Pia soma: Kwani lazima kuoana?
Mkuu nakuunga mkongo. Masingle Mother wana umuhimu sana.
 
Nina mfano..ulio hai ambao umeniumiza sana moyo mpaka waona wanawake kama Mashetani.. na hii imepelekea niko na 36 now..

ila sina mke wala staki hata kimsikia.

Ukweli ni kuwa.. Baba yangu kauliwa na mwanamke wake wa ndoa... na kwa ubaya huo huo wa mwanamke huyo haukuishia hapo.. aka muua na kaka mkubwa wakwanza kisa mali za Baba yetu.. kaka hiyo haitoshi ame waharibu kaka zangu wote wamekuwa kama misukule inayo ishi.. na hadi mimi kanifungia ajira, kaharibu maisha ya familia nzima.. Na mbaya zaidi ana jitapa kabisa kwa marafiki zake kuwa ata tumaliza.. Juzi tu kamtupia Mama yangu Ugonjwa wa ajabu tuka mkimbiza kwenye maombi ndio kapona..

Leo.hii kweli utaniambia nioe mwanamke nilale naye kitanda kimoja??

hapana aisee.. bora kuzaa watoto uko nje ila.siyo kukaa nyumba moja chumba kimoja na mwanamke.. hapana kwa kweli..
hujawahi kuwaza kumuondoa duniani?
 
Pata picha umepata ajari umevunjika miguu yote miwili au umepofoka macho yote mawili uoni hao wanawake ulizaa nao wameolewa wote au kama awajaolewa wanaishi na mabwana zao au kama hawana mabwana zao bac jua wana wanaume zao.

Point yangu ni hivi ukipatwa na hayo maswaiba jua kwamba huto weza pika huto weza fua nguo utoweza kuoga huto weza fanya chochote kile ndugu zako watakuchukua na ukubwa wako uwo wote sio watakulea weee lakini mwisho wa siku watakuchoka tu.

Je kama ungekuwa umeoa una mke wako arafu umepatwa na hayo majanga ww unazani angekuchoka kweli???c angekuhudumia mume wake angeangaika ma ww kufa na kupona arafu pia utakuwa na heshima ya kuoa mwanamke .

Mzee ndoa ni muhimu mno nipo kwenye ndoa mwaka wa 18 huu nimeoa nikiwa bado kijana msogo(19) mwaka 2002 mno mpaka saizi na miaka 37 nipo kwenye ndoa mke wangu alikuwa na umri wa miaka 17 tuu nilimkuta ana mtoto mdogo ambae sio wangu mm mpaka leo yule dogo ana miaka 20 nimemtafutia kazi dogo anafanya kazi..

Tuna watoto 7 saizi tunaishi kwa upendo na amani nimejionea mengi mno kwenye ndoa tena sana maisha ni kivumiliana akuna alie kamilika kazi ninayo fanya laiti ningekuwa na mwanamke mwingine bac angeniacha mda mrefu sana..

Naweza kaa miezi 4 mpaks mi5 cjarudu home kuna kipindi nilisafiri njee ya nchi nilikaa mwaka mzima sijarudi nyumbani lakini yule mwanamke akaa vzr na familia wanaishi vizuri hana tamaa na wanaume ni mtu wa dini nilipo mtoa Mungu ndo anajua tulipo toka Mungu ndo anajua tumepitia Mengi sana.

Imagine tuna atujafika 40 lakini tuna watoto 7 now na tuna furaha na amani na nikikuonesha huyu ni mke wangu ana miaka 36 ana watoto 7 uwezi amini ila uwo ndo ukweli....

Ndoa ni kuvumiliana ndoa ni taasisi ambayo inahitaji mwanaume jasiri mwenye misimamo mamamuzi magumu yenye busara ndani yake ili maisha yaende ndo sio jambo la kukurupukia tuu hapana ndoa ni taasisi pana sana....fungeni ndoa vijana acheni uoa ndoa ni tamu ukimpata mnae endana...
Mkuu heshima kwako
 
Kwa sasa sion mwanamke wa kuendelea kubaki na wewe baada ya kupata upofu au kupoteza miguu yote! Unaachwa mchana kweupe🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
 
Aiseee,unakosa uhondo mweh!!!
1. Kuna magheto ya kupanga yana gypsum naleta mbususu ndani ikipiga kelele gypsum inazuia, kelele zikiwa nyingi nawasha sabufa naweka Rihanna "Man Down" mdundo mkubwa jirani asikii kelele za mahaba.

2. Kuna Rice cooker, Pressure cooker, multi cooker, na gas.
Kila kitu kimerahisishwa kwenye kupika.

3. Kuna kina maza wa kufua, kila weekend wanapita gheto kuulizia nguo za kufua.

Uhondo GANI huo nakosa?

Kuoa ni majanga

#YNWA
 
Back
Top Bottom