Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Na hao wanawake wenye akili ni wale ambao siku wanaolewa wanaenda kutomban* na X eti wanaagana.Hata hivyo ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu, ukishajijua zimepungua tulia tu uiepushe jamii na shurba za hapa na pale.
Kuna mmoja humu ana akili huyoo, alileta Uzi ana jamaa hampendi hata Ila anapenda gari lake tu kwasababu kwahongwa gari na jamaa.
Kwenye huohuo Uzi, mmoja aka comment "bora wewe mchumba, Mimi Nina mume kanioa kabisa nilipenda Mali zake Ila sijawahi mfurahia kabisaa"
Kama hizi ndio akili tunazozioa acha tu niwe TAHIRA.
#YNWA