Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Na hao wanawake wenye akili ni wale ambao siku wanaolewa wanaenda kutomban* na X eti wanaagana.Hata hivyo ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu, ukishajijua zimepungua tulia tu uiepushe jamii na shurba za hapa na pale.
Alafu mtu anakushauri et ulete mwanamke umfuge ndani, mjambiane every night for 365 days!!! aisee hapana❌1. Kuna magheto ya kupanga yana gypsum naleta mbususu ndani ikipiga kelele gypsum inazuia, kelele zikiwa nyingi nawasha sabufa naweka Rihanna "Man Down" mdundo mkubwa jirani asikii kelele za mahaba.
2. Kuna Rice cooker, Pressure cooker, multi cooker, na gas.
Kila kitu kimerahisishwa kwenye kupika.
3. Kuna kina maza wa kufua, kila weekend wanapita gheto kuulizia nguo za kufua.
Uhondo GANI huo nakosa?
Kuoa ni majanga
#YNWA
Umepagusa penyewe pametekenyekaHata hivyo ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu, ukishajijua zimepungua tulia tu uiepushe jamii na shurba za hapa na pale.
Daah pole sana, ila sijui unazungumzia akili ipi??Kipimo cha akili ya mwanaume ni kuoa
Hata hivyo ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu, ukishajijua zimepungua tulia tu uiepushe jamii na shurba za hapa na pale.
Nafikiri hujamuelewa mleta madaWazee wetu wangekuwa wanaogopa kuoa kwa kuangalia matatizo ya ndoa za wenzao. ndhani wengi tusingekuepo.
Matatizo haya ya serve as darasa, lakin yasitumike kama kisingizio
Sio wote ila 90 %wako unavyosema wanadai ni wazunguMkuu tofautisha wanawake wa kale na wasasa,waswahili wanasema ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji tatizo mwenzetu humebatika mwenye maadili ya kali ila ungepata hawa digital nadhani ungeniunga mikono na miguu kwa ninacho ongea
eti wazungu huku bongo unafikili hatuwaoni KE wetu wanachokifanya kwanza mimi siongelei naongelea wanawake wa jamii yetu sio wazunguSio wote ila 90 %wako unavyosema wanadai ni wazungu
Pata picha umepata ajari umevunjika miguu yote miwili au umepofoka macho yote mawili uoni hao wanawake ulizaa nao wameolewa wote au kama awajaolewa wanaishi na mabwana zao au kama hawana mabwana zao bac jua wana wanaume zao.
Point yangu ni hivi ukipatwa na hayo maswaiba jua kwamba huto weza pika huto weza fua nguo utoweza kuoga huto weza fanya chochote kile ndugu zako watakuchukua na ukubwa wako uwo wote sio watakulea weee lakini mwisho wa siku watakuchoka tu.
Je kama ungekuwa umeoa una mke wako arafu umepatwa na hayo majanga ww unazani angekuchoka kweli???c angekuhudumia mume wake angeangaika ma ww kufa na kupona arafu pia utakuwa na heshima ya kuoa mwanamke .
Mzee ndoa ni muhimu mno nipo kwenye ndoa mwaka wa 18 huu nimeoa nikiwa bado kijana msogo(19) mwaka 2002 mno mpaka saizi na miaka 37 nipo kwenye ndoa mke wangu alikuwa na umri wa miaka 17 tuu nilimkuta ana mtoto mdogo ambae sio wangu mm mpaka leo yule dogo ana miaka 20 nimemtafutia kazi dogo anafanya kazi..
Tuna watoto 7 saizi tunaishi kwa upendo na amani nimejionea mengi mno kwenye ndoa tena sana maisha ni kivumiliana akuna alie kamilika kazi ninayo fanya laiti ningekuwa na mwanamke mwingine bac angeniacha mda mrefu sana..
Naweza kaa miezi 4 mpaks mi5 cjarudu home kuna kipindi nilisafiri njee ya nchi nilikaa mwaka mzima sijarudi nyumbani lakini yule mwanamke akaa vzr na familia wanaishi vizuri hana tamaa na wanaume ni mtu wa dini nilipo mtoa Mungu ndo anajua tulipo toka Mungu ndo anajua tumepitia Mengi sana.
Imagine tuna atujafika 40 lakini tuna watoto 7 now na tuna furaha na amani na nikikuonesha huyu ni mke wangu ana miaka 36 ana watoto 7 uwezi amini ila uwo ndo ukweli....
Ndoa ni kuvumiliana ndoa ni taasisi ambayo inahitaji mwanaume jasiri mwenye misimamo mamamuzi magumu yenye busara ndani yake ili maisha yaende ndo sio jambo la kukurupukia tuu hapana ndoa ni taasisi pana sana....fungeni ndoa vijana acheni uoa ndoa ni tamu ukimpata mnae endana...