Ukicheza na Israel unacheza na moto: Viongozi wote wa juu wa Hezbollah wametunguliwa

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Hezbollah wametuangusha sana, pamoja na mikwara yao yote wamechakazwa nje ndani kwenye mfumo mzima wa uongozi, anaehema ni moja tu kati ya 11 waliomalizwa akiwamo kiongozi mkuu, huo msako anaopigiwa anaweza kujimaliza mwenyewe kwa msongo wa mawazo.

1727520317266.png
 
Mavi yao Israel ni kelele nyingi sababu ya US, Europe na badhi ya nchi za kiarabu ndio zinamsaidia.

Hio ya kumuwa Nasurlah ni ndoto wacha waote.

Kabla ya allah, kuna miungu mingine ilijaribu kufuta Israel, wakiwemo hata baal yule mungu wa Wafilisti, sasa huyu allah wa Waarabu aliyebuniwa juzi na Mohammad pale jangwani hawezi chochote dhidi ya Mungu wa Israel.
 
We shoga unadhani Israel ana nini zaidi ya kupewa silaha na US afu mnamsifia 😄 Silaha anazo tumia zote ni anapewa na America na Europe afu bado mnamsifia, ni sawa sawa na muomba pesa apewe pesa za kuomba omba afu mkamsifie eti kajenga nyumba 😄

Akili za 1=3 ni kinyesi tu
 
Nawe kawaombe.
 
Iran inapenda sana kutumia mgambo vikaragosi mamluki, yenyewe Iran mwoga haiendi moja kwa moja vitani, kazj yake kufadhili, kupiga propaganda na kuzua vita nchi za jirani na mbali pia.

Taifa hili la Iran ndiyo nchi inayochukiwa sana na nchi za kiarabu za Mashariki ya Kati pia Afrika ya Kaskazini kwa kufadhili chokochoko katika maeneo hayo ya dunia.
 
Mavi yao Israel ni kelele nyingi sababu ya US, Europe na badhi ya nchi za kiarabu ndio zinamsaidia.

Hio ya kumuwa Nasurlah ni ndoto wacha waote.
Bado Ayatollah! Naskia amekimbizwa shimoni baada ya kusikia Nasrallah kaliwa kishundu. Wangejua Israel hata uingie shimo na namna gani akikutaka anakumalizia huko wasingekuwa hata wanahangaika
 
Hezbollah wametuangusha sana, pamoja na mikwara yao yote wamechakazwa nje ndani kwenye mfumo mzima wa uongozi, anaehema ni moja tu kati ya 11 waliomalizwa akiwamo kiongozi mkuu, huo msako anaopigiwa anaweza kujimaliza mwenyewe kwa msongo wa mawazo.

View attachment 3109370
Hivi hezbollah hii vita vya gaza vilikuwa vinawahusu nini?
 
Back
Top Bottom