imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Wairan watapunzika siku watakapoiondoa Islamic Government na kusimika Secular Government na Amani itarejea katika Mashariki ya Kati.Iran inapenda sana kutumia mgambo vikaragosi mamluki, yenyewe Iran mwoga haiendi moja kwa moja vitani, kazj yake kufadhili, kupiga propaganda na kuzua vita nchi za jirani na mbali pia.
Taifa hili la Iran ndiyo nchi inayochukiwa sana na nchi za kiarabu za Mashariki ya Kati pia Afrika ya Kaskazini kwa kufadhili chokochoko katika maeneo hayo ya dunia.