Ukicheza na Israel unacheza na moto: Viongozi wote wa juu wa Hezbollah wametunguliwa

Wairan watapunzika siku watakapoiondoa Islamic Government na kusimika Secular Government na Amani itarejea katika Mashariki ya Kati.
 
Mavi yao Israel ni kelele nyingi sababu ya US, Europe na badhi ya nchi za kiarabu ndio zinamsaidia.

Hio ya kumuwa Nasurlah ni ndoto wacha waote.
Unakili kuwa hao wanaomsaidia wana nguvu kubwa kuliko maadui zao kama Russia,Iran?

Huwezi msaidia mtu aside na nguvu na hata akili.

Hivi leo hii Tanzania tunaweza mpiga mRUSSIA kwa msaada wa hao wanaomsaidia MISERABLE?
 
Inasemekana amekufa yeye familia yake na wale machawa wake ambao huwa wanakaa nae pembeni huku wamevalia Vilemba vikubwa.
 
Unakili kuwa hao wanaomsaidia wana nguvu kubwa kuliko maadui zao kama Russia,Iran?

Huwezi msaidia mtu aside na nguvu na hata akili.

Hivi leo hii Tanzania tunaweza mpiga mRUSSIA kwa msaada wa hao wanaomsaidia MISERABLE?
Hiyo ni point muhimu ambayo kobazi hawataki kuiwaza. Huwezi msaidia lofa. Netanyau aliwaambia congress kwamba we depend each other.. 🀣
 
Una hasira mno [emoji2]
Nenda kwenye msiba
 

NI KAMA MTU ANACHEZA GAME VILE.
 
Punguza hasira mkuu

Basi hao jamaa ijapokuwa unawapinga kuwa hawana lolote, basi watambue katika shabaha tu basi
 
Kwenye mfumo wa fedha na siasa za US kuna wayahudi wengi. Nakukumbusha US secretary of state Antony Blinken ni myahudi
 
Yeah tunakula vichwa kwanza
Halafu tuna deal na mbegu
 

Hezbolah anapewa na nani....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…