Hauwezi kuwa MwanaYanga ww, hili la kwanza na pili fuatilia CV ya coach Nasredine Mohammed Nabi pia na coach Cedric Kaze ni makocha wa daraja la Juu sana halafu njoo kwa makocha hawa Coach Gomes, Coach Sven, na Coach Ausems ni makocha wa madaraja sawa na hao wa Yanga ila tofauti yao walijikuta simba ipo kwenye reli tayari na wakafanya nayo vzr ila now angalia Coach Ausems kule Afc Leopard Kenya alivyo na matokeo mabaya na vipi kuhusu Coach Sven wale RS Berkane kawafikisha wapi kwenye ligi kuu ya Morroco na vipi kuhusu michuano ya Africa kawafikisha wapi bila kusahau hapo unakumbuka Gomes alipokuwa Al hilal ya pale Sudan alifanya nini kwenye mashindano ya Afrika
Kwenye swala la usajili hapa huwa kifanyike kitu kinaitwa Gambling, Luis Jose Miquissone alisajiliwa Mamelodi sundowns alishindwa Kuprove ubora wake akarudishwa Ud songo kwa mkopo, ila simba wakamchukua waka Win katika hilo na ikawalipa ila hapo nyuma pia wamewahi kufanya sajili nyingi na hazikuwa lipa na wakapata flop players
Ishu ya mpira ni ufundi kama unaangalia kwa jicho hilo ila kama unaangalia kwa jicho la kiushabiki huwezi kuelewa ninacho kuzungumza