Mmmh nani anatime na mtu kila mtu yuko na yake, alafu haya mambo ya roho mbaya ni mambo ya kimamamama sana, chugga wa kukuonea roho mbaya labda mmekutana wote manew comers mmetoka huko kwenu na vitabia vyenu vya uswahilini lakini wale wenyeji wa chugga ni kama marastafarians hawana time na mambo ya mtu wao ni peace all time ili mradi tu usimletee marinjirinji
Leo star tv wameonyesha wafanyabiashara wanaikimbia Kibondo wanakimbilia Nyakanazi sababu ya Ujambazi.Sijui kigoma ipi hiyo unayoizungumzia lkn nnachojua Mikoa mikubwa nchini ndiyo inayoongoza kw matukio ya wizi na ujambazi.
Nna miaka mingi sana sijasikia wala kushuhudia tukio la ujambazi kigoma (mjini) hizo story za kahawani ziache kulekule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ieleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:-
- Arusha
- Kilimanjaro
- Tabora
- Simiyu
- Geita
- Kigoma
- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanzibar yote
Hiyo mikoa kama ndio unataka kuanza kutafuta maisha sikushauri uende.
unikiria hasara wakati hata pesa ya kufanyia jambo huna.Ieleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:-
- Arusha
- Kilimanjaro
- Tabora
- Simiyu
- Geita
- Kigoma
- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanzibar yote
Hiyo mikoa kama ndio unataka kuanza kutafuta maisha sikushauri uende.
Ukora kiaje?Tatizo la kigoma ni connection na mikoa mingine, tatizo la kilimanjaro ni aina ya wakaazi, wako very conservative na kila fursa wanaimudu, tatizo la arusha ni ukora na uhuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikufundishe kitu pengine utanielewa.Interesting, hivi sehemu ambayo kuna wenyeji kutoka makabila mengi huwa kuna ukabila wa wazi wazi kweli? Kama huko unakosema Arusha kuna kabila la wa masai, waarusha, wahiraq, wameru, wachaga sasa kwenye mseto wa aina hii ukabila unakuwaje?
Nataka tu kujifunza kitu
Ukishindwa kupiga hela kwenye mkoa wa Kagera utakuwa mvivu hata Rais anajuaBiashara ya vanila unaijua wewe? Wewe uliza ni kwanini wafanya biashara wengi hususani wa nguo na viatu wa bukoba, siku hizi wanafuata mzigo buseresere?, bukoba ki uchumi kumekaa kushoto sana, kwa tunaoifahamu kwa sasa, japo toka nyuma haiko vizuri ila kwa sasa, hapana. Bunazi hapo maeneo yote ya kuelekea kagera sugar, nimefanya sana, kahawa ndio zao lililokuea lina stimulate uchumi wa mkoa, tena hasa kwa biashara ya kupeleka uganda!!
Usikariri mkuu.Ila nimetoka kigoma miaka 10, pengine mambo yamebadilika, ila sura ya kigoma niliyo nayo ni bunduki nje nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuu nimekaa miaka miwili huko sikuwahi kuogopa kutembea usiku wakati naenda nilitishwa hivo hivo, kumbe watu wanakaririshwa.Kama una ndugu au rafiki kigoma muulize mara ya mwisho kusikia/kushuhudia tukio la ujambazi ni lini?
Tatizo lenu wengi mnatengeneza picha vichwani na kuhisi ndo uhalisia.
Binafsi nahofia zaidi kutembea usiku nikiwa Dar kuliko nikiwa Kigoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sehemu imetawaliwa na kabila moja LA jiwe,mji umepambwa kwa barabara za lami ila ni pagumu sana aiseeMaisha ni popote.. Changamoto za kwenye hiyo mikoa ndio fursa zenyewe...
Umeitaja Simiyu? Unaijua Simiyu lakini? Umeshawahi fika pale makao makuu ya mkoa, Bariadi?
Hapo umeongea kweli lakini huenda hiyo idadi kubwa ya hilo kabila ni kutokana na wenyeji wa maeneo hayo ndio wao kwa hiyo lazima watakua wengi tu ukilinganisha na makabila mengine ambayo ni wachache mkoani hapo sababu sio wenyeji wa huo mkoa, au sio?Ngoja nikufundishe kitu pengine utanielewa.
Yaani kwa mfano ukienda kwenye viwanda kule Arusha au Moshi halaf ikatokea mkurugenzi au meneja ni mchaga basi kwenye wafanyakazi 100 utaona mpangilio ufuatao.
Idadi ya wasukuma-3
Idadi ya warangi/wairaki na wanyaturu-2
Idadi ya wapare-3
Idadi ya wamasai-2
Idadi ya wachaga-90
Usiponielewa hapa Basi utakuwa na kichwa kizito.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye ukabila umechapia bossKweli kabisa mkuu kule kaskazini Mimi nimekaa yaani kila mtu ni mjuaji na ukabila sana yaani Kama si mwenyeji wa kule hata ukipata kibarua watu wanaumia na kukufanyia figisu makusudi ili ushindwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi nilikuwa kwenye viwanda vya maeneo hayo na hivyo viwanda ulivyovitaja Kuna utofauti kidogo kwa sababu utawala wa juu ni wa wahindi lakini laiti utawala wa juu ungekuwa ni wa wachaga usingewakuta hao wasingida hapo.Hapo umeongea kweli lakini huenda hiyo idadi kubwa ya hilo kabila ni kutokana na wenyeji wa maeneo hayo ndio wao kwa hiyo lazima watakua wengi tu ukilinganisha na makabila mengine ambayo ni wachache mkoani hapo sababu sio wenyeji wa huo mkoa, au sio?
Nimefanya kazi kwenye maeneo mengi Tanzania hilo nimeliona kila eneo wenyeji lazima wazidi wageni kwenye kila idara ila utofauti nimeona huko huko Arusha tulikua na ziara kwenye hivyo viwanda lakini idadi ya warangi na wanyaturu ni kubwa kuliko idadi ya wameru na waarusha / wamasai kwenye viwanda vya a to z kule kisongo na unga limited almost maeneo yote ya viwanda, na kuna utamaduni kwamba wahindi hupendelea kuwaajiri hao sababu ya dini zao na hukubali mshahara wowote na sio wasumbufu.
Nimejaribu tu kushare nilichokiona mwenyewe maeneo hayo.
Nimeishi Arusha mkuu na jamii ya kule Arusha waliojaa wengi ndio hao wa kutoka Kilimanjaro.Hapo kwenye ukabila umechapia boss
Kilimanjaro unaisikia au kupapita tu kuishi hujawai
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana ukabila. Sorry mm si mchaga. Lakin. Nawafaham vizur kwa umoja wao, huo sio ukabila.
Hivi wee unajua wachaga au unawasikia? Yaani umfuge mchaga kwa siku 30 kwenye likiwanda lako alafu umpe elfu 50?huyo sio mchagaHata Mimi nilikuwa kwenye viwanda vya maeneo hayo na hivyo viwanda ulivyovitaja Kuna utofauti kidogo kwa sababu utawala wa juu ni wa wahindi lakini laiti utawala wa juu ungekuwa ni wa wachaga usingewakuta hao wasingida hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app