Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

Aisee ..huko wana roho mbaya sana basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh nani anatime na mtu kila mtu yuko na yake, alafu haya mambo ya roho mbaya ni mambo ya kimamamama sana, chugga wa kukuonea roho mbaya labda mmekutana wote manew comers mmetoka huko kwenu na vitabia vyenu vya uswahilini lakini wale wenyeji wa chugga ni kama marastafarians hawana time na mambo ya mtu wao ni peace all time ili mradi tu usimletee marinjirinji
 
Sijui kigoma ipi hiyo unayoizungumzia lkn nnachojua Mikoa mikubwa nchini ndiyo inayoongoza kw matukio ya wizi na ujambazi.
Nna miaka mingi sana sijasikia wala kushuhudia tukio la ujambazi kigoma (mjini) hizo story za kahawani ziache kulekule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo star tv wameonyesha wafanyabiashara wanaikimbia Kibondo wanakimbilia Nyakanazi sababu ya Ujambazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kweli mkuu
Kufanya biashara unatakiwa uwe na element zifuatazo.
SMART
S-Specific
M-Measurable
A-Attainable
R-Realistic
T-Time bond.
Hivyo lazima uisome jamii yako (Mila na destur zao) itakayoizunguka/hudumiwa na wewe ili ufanikiwe shughuli yako.
Mfano: Unaanzisha Mgahawa halafu unauza nyama ya Nguruwe kwenye jamii Kubwa yenye Iman ya Uislam.
Utatobowa kweli hapo?
Ieleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:-

- Arusha
- Kilimanjaro
- Tabora
- Simiyu
- Geita
- Kigoma
- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanzibar yote

Hiyo mikoa kama ndio unataka kuanza kutafuta maisha sikushauri uende.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ieleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:-

- Arusha
- Kilimanjaro
- Tabora
- Simiyu
- Geita
- Kigoma
- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanzibar yote

Hiyo mikoa kama ndio unataka kuanza kutafuta maisha sikushauri uende.
unikiria hasara wakati hata pesa ya kufanyia jambo huna.
yani wewe mtoa mada hata mtaa wapili uwezi fungua duka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Interesting, hivi sehemu ambayo kuna wenyeji kutoka makabila mengi huwa kuna ukabila wa wazi wazi kweli? Kama huko unakosema Arusha kuna kabila la wa masai, waarusha, wahiraq, wameru, wachaga sasa kwenye mseto wa aina hii ukabila unakuwaje?

Nataka tu kujifunza kitu
Ngoja nikufundishe kitu pengine utanielewa.
Yaani kwa mfano ukienda kwenye viwanda kule Arusha au Moshi halaf ikatokea mkurugenzi au meneja ni mchaga basi kwenye wafanyakazi 100 utaona mpangilio ufuatao.
Idadi ya wasukuma-3
Idadi ya warangi/wairaki na wanyaturu-2
Idadi ya wapare-3
Idadi ya wamasai-2
Idadi ya wachaga-90
Usiponielewa hapa Basi utakuwa na kichwa kizito.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-Arusha + Kilimanjaro.
Kilimo cha bustani, Ufugaji wa Kuku, Fursa za Madini ya Tanzanite, Biashara ya mbao na magogo toka misitu ya Arusha na Kilimanjaro. Uvuvi.

- Tabora + Simiyu +Geita
Kuna migodi ya dhahabu katika mikoa hiyo, mfano Mgodi was Geita na Kitunda, hiyo in fursa so kwa wachimbaji tu Bali hata wafanyabiashara wa bidhaa za kawaida na Mama Lishe. Pia shughuli za uchanaji mbao, ufugaji wa nyuki na kilimo cha mpunga.

- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanziba

Kwa ufupi hata mikoa iliyobaki ina fursa nyingi tatizo ni vijana wana dharu mingi na kupend kuchagua kazi matokeo yake in lazima uanzishe Uzi Jamiiforums kwamba mkoa Fulani na Fulani in mgumu kwa MTU kufanikiwa.
 
Biashara ya vanila unaijua wewe? Wewe uliza ni kwanini wafanya biashara wengi hususani wa nguo na viatu wa bukoba, siku hizi wanafuata mzigo buseresere?, bukoba ki uchumi kumekaa kushoto sana, kwa tunaoifahamu kwa sasa, japo toka nyuma haiko vizuri ila kwa sasa, hapana. Bunazi hapo maeneo yote ya kuelekea kagera sugar, nimefanya sana, kahawa ndio zao lililokuea lina stimulate uchumi wa mkoa, tena hasa kwa biashara ya kupeleka uganda!!
Ukishindwa kupiga hela kwenye mkoa wa Kagera utakuwa mvivu hata Rais anajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una ndugu au rafiki kigoma muulize mara ya mwisho kusikia/kushuhudia tukio la ujambazi ni lini?
Tatizo lenu wengi mnatengeneza picha vichwani na kuhisi ndo uhalisia.
Binafsi nahofia zaidi kutembea usiku nikiwa Dar kuliko nikiwa Kigoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuu nimekaa miaka miwili huko sikuwahi kuogopa kutembea usiku wakati naenda nilitishwa hivo hivo, kumbe watu wanakaririshwa.

]Kupata hakuna kudogo
 
Ngoja nikufundishe kitu pengine utanielewa.
Yaani kwa mfano ukienda kwenye viwanda kule Arusha au Moshi halaf ikatokea mkurugenzi au meneja ni mchaga basi kwenye wafanyakazi 100 utaona mpangilio ufuatao.
Idadi ya wasukuma-3
Idadi ya warangi/wairaki na wanyaturu-2
Idadi ya wapare-3
Idadi ya wamasai-2
Idadi ya wachaga-90
Usiponielewa hapa Basi utakuwa na kichwa kizito.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umeongea kweli lakini huenda hiyo idadi kubwa ya hilo kabila ni kutokana na wenyeji wa maeneo hayo ndio wao kwa hiyo lazima watakua wengi tu ukilinganisha na makabila mengine ambayo ni wachache mkoani hapo sababu sio wenyeji wa huo mkoa, au sio?

Nimefanya kazi kwenye maeneo mengi Tanzania hilo nimeliona kila eneo wenyeji lazima wazidi wageni kwenye kila idara ila utofauti nimeona huko huko Arusha tulikua na ziara kwenye hivyo viwanda lakini idadi ya warangi na wanyaturu ni kubwa kuliko idadi ya wameru na waarusha / wamasai kwenye viwanda vya a to z kule kisongo na unga limited almost maeneo yote ya viwanda, na kuna utamaduni kwamba wahindi hupendelea kuwaajiri hao sababu ya dini zao na hukubali mshahara wowote na sio wasumbufu.

Nimejaribu tu kushare nilichokiona mwenyewe maeneo hayo.
 
Hata Mimi nilikuwa kwenye viwanda vya maeneo hayo na hivyo viwanda ulivyovitaja Kuna utofauti kidogo kwa sababu utawala wa juu ni wa wahindi lakini laiti utawala wa juu ungekuwa ni wa wachaga usingewakuta hao wasingida hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mimi nilikuwa kwenye viwanda vya maeneo hayo na hivyo viwanda ulivyovitaja Kuna utofauti kidogo kwa sababu utawala wa juu ni wa wahindi lakini laiti utawala wa juu ungekuwa ni wa wachaga usingewakuta hao wasingida hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wee unajua wachaga au unawasikia? Yaani umfuge mchaga kwa siku 30 kwenye likiwanda lako alafu umpe elfu 50?huyo sio mchaga

Wachaga ni wafanyabiashara sio wa kupelekeshwa hovyo na wahindi viwandani ni bora aende dar mwanza au popote kua machinga kuliko kufanya hiyo biashara

Alafu hao wanafanya hizo kazi kwenye hivyo viwanda hawana muamko wa elimu kwenye Jamii zao, mchaga mpaka asome shule zote kwanza ndio maana ni wengi kwenye vyuo.

Njoo kwenye companies za utalii ndio utakutana na wachaga huko kwenye ajira za viwandani tumewaachia nyie
 
Back
Top Bottom