Ukienda kwa shehe akikupa vikaratasi kama hivi uwe unavibeba ama kuviweka chumbani vichane na usirudi tena kwake, ni uchawi mtupu

( وَلَقَدْ أُوحِيَ إِلَيْكَ وَإِلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكَ لَئِنْ أَشْرَكْتَ لَيَحْبَطَنَّ عَمَلُكَ وَلَتَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ )

الزمر (65) Az-Zumar
 
MPe huyo... takbiiiiiiiiiiiir....
 
Ujinga ukizidi ndo unakua kma ww
Acha bangi ww

Embu twambie wapi tumeambiwa tutumie iyo talasimu ulosema embu niletee hadithi au aya ata moja inoruhusu kutumia matalasimu

Hlf usipende kupinga pinga vitu usivokua na Elimu navyo

Halafu pengine wewe hujui ila unatumia mfumo wa majuaji na uchek bob wako ili kujifunza...

Kuna tarasimu unaandika suratul fat`ha na unapona... wewe endelea kusema ni shirki na hyo sunni yenu yakukata suruali
 
Kama ni bangi hata baba ako anavuta...

Sasa baba angu kaingiaje hpa we mjinga?
 
Kama ni bangi hata baba ako anavuta...

Halafu pengine wewe hujui ila unatumia mfumo wa majuaji na uchek bob wako ili kujifunza...

Kuna tarasimu unaandika suratul fat`ha na unapona... wewe endelea kusema ni shirki na hyo sunni yenu yakukata suruali
Hiyo ni shirki tu ata msemaje

Nyie wa bid'aa mna tabu sanaa hamna Elimu hlf ujuaji mwingii na masheikh wenu wa mchongo
 
Tofautisha uchawi na ushirikina,ushirikina no kuitakidi kitu kingine isicho
Uchawi na ushirikina ni city viwili tofauti,na nani kakwambia use sunni/salafi!?..mtume alikua sunni/salafi!?
 
Hiyo ni shirki tu ata msemaje

Nyie wa bid'aa mna tabu sanaa hamna Elimu hlf ujuaji mwingii na masheikh wenu wa mchongo
Shirki ni kuabudu/kukipa kitu sofa za allah,huo unaosema ni shirki ni uchawi,ambao allah kakataza so tu kufanya bali hata kujifunza
 
Kuzisoma dini zetu hatutaki tukipata mistari miwili kwenye biblia au Aya mbili kwenye kuruani basi nawe umeshakuwa mjuzi kwenye dini, tusomeni dini zetu tuwache ujuwaji wewe kama una misimamo Yako kaa nayo mwenyewe usitake Kila mtu akufuate wewe kwanza sote hizi dini tumezipata kutoka Kwa wazazi wetu.
 
Tofautisha uchawi na ushirikina,ushirikina no kuitakidi kitu kingine isicho

Uchawi na ushirikina ni city viwili tofauti,na nani kakwambia use sunni/salafi!?..mtume alikua sunni/salafi!?
Mpka hpa upo mbali sana na Elimu

Hta nikwambie vipi hutoweza kunielewa

Kwaio muombe Allah akupe ufahamu wa kuijua haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…