Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Sifuti ukweli lazima usemwe tuuMkuu futa hii kauli mara moja unatutukania witch doctor wetu.
Unajua bandiko zake zimesaidia wangapi hapa.
Nani kasaidika na hizo shirki zake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifuti ukweli lazima usemwe tuuMkuu futa hii kauli mara moja unatutukania witch doctor wetu.
Unajua bandiko zake zimesaidia wangapi hapa.
NdioKumbe Ni mchawi!
MPe huyo... takbiiiiiiiiiiiir....Yan wewe kweli mpumbavu na hyo sunni yako washamba wa tupu....
Allah anasema magonjwa yote yanatoka kwake na tiba zinatoka kwenye kitabu chake...
Sasa kw taarfa yako,hiyo tarasimu ya kwanza hapo juu..manuizo yake ni kusomea BARAHATIHI 11...Halafu unaleta aya nusu unadhn cc wajnga?
Ujinga ukizidi ndo unakua kma ww
Acha bangi ww
Embu twambie wapi tumeambiwa tutumie iyo talasimu ulosema embu niletee hadithi au aya ata moja inoruhusu kutumia matalasimu
Hlf usipende kupinga pinga vitu usivokua na Elimu navyo
Sasa baba angu kaingiaje hpa we mjinga?Kama ni bangi hata baba ako anavuta...
Halafu pengine wewe hujui ila unatumia mfumo wa majuaji na uchek bob wako ili kujifunza...
Kuna tarasimu unaandika suratul fat`ha na unapona... wewe endelea kusema ni shirki na hyo sunni yenu yakukata suruali
Hiyo ni shirki tu ata msemajeKama ni bangi hata baba ako anavuta...
Halafu pengine wewe hujui ila unatumia mfumo wa majuaji na uchek bob wako ili kujifunza...
Kuna tarasimu unaandika suratul fat`ha na unapona... wewe endelea kusema ni shirki na hyo sunni yenu yakukata suruali
Acha kushabikia ujinga na upumbavuMPe huyo... takbiiiiiiiiiiiir....
Tofautisha uchawi na ushirikina,ushirikina no kuitakidi kitu kingine isichoMkuu ndo mana sisi waislamu wa Sunni(Salafi) tunawapiga vita sana masheikh hawa mchongo
Kma ulivosema ni kweli hapo ni uchawi tu huo hamna kitu kingine na Mungu katika kitu ambacho hakipendi ni shirki
( وَلَقَدْ أُوحِيَ إِلَيْكَ وَإِلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكَ لَئِنْ أَشْرَكْتَ لَيَحْبَطَنَّ عَمَلُكَ وَلَتَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ )
الزمر (65) Az-Zumar
Na kwa yakini yamefunuliwa kwako na kwa walio kuwa kabla yako: Bila ya shaka ukimshirikisha Mwenyezi Mungu a'mali zako zitaanguka, na lazima utakuwa miongoni mwa wenye kukhasiri.
Kuna watu wanauchukia Uislamu kisa hawa masheikh wa mchongo humu pia wamo wanajifanya kutafsiri ndoto sijui nn ni uongo mtupu
Uchawi na ushirikina ni city viwili tofauti,na nani kakwambia use sunni/salafi!?..mtume alikua sunni/salafi!?Mkuu ndo mana sisi waislamu wa Sunni(Salafi) tunawapiga vita sana masheikh hawa mchongo
Kma ulivosema ni kweli hapo ni uchawi tu huo hamna kitu kingine na Mungu katika kitu ambacho hakipendi ni shirki
( وَلَقَدْ أُوحِيَ إِلَيْكَ وَإِلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكَ لَئِنْ أَشْرَكْتَ لَيَحْبَطَنَّ عَمَلُكَ وَلَتَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ )
الزمر (65) Az-Zumar
Na kwa yakini yamefunuliwa kwako na kwa walio kuwa kabla yako: Bila ya shaka ukimshirikisha Mwenyezi Mungu a'mali zako zitaanguka, na lazima utakuwa miongoni mwa wenye kukhasiri.
Kuna watu wanauchukia Uislamu kisa hawa masheikh wa mchongo humu pia wamo wanajifanya kutafsiri ndoto sijui nn ni uongo mtupu
Shirki ni kuabudu/kukipa kitu sofa za allah,huo unaosema ni shirki ni uchawi,ambao allah kakataza so tu kufanya bali hata kujifunzaHiyo ni shirki tu ata msemaje
Nyie wa bid'aa mna tabu sanaa hamna Elimu hlf ujuaji mwingii na masheikh wenu wa mchongo
Dhibitisha ushirikina wake maana sie hatu uoni.Huyu Rakims ndo hafai kabisaaa ni mshirikina haswaa na watu wanamfuatilia sana hpa jukwaani
Mpka hpa upo mbali sana na ElimuTofautisha uchawi na ushirikina,ushirikina no kuitakidi kitu kingine isicho
Uchawi na ushirikina ni city viwili tofauti,na nani kakwambia use sunni/salafi!?..mtume alikua sunni/salafi!?
Huwezi kuuona mna na ww ushakua kipofu kwakeDhibitisha ushirikina wake maana sie hatu uoni.
Umkukubali kwa alivyosema kuwa yeye ni Mtume wa Mungu ?Ukimkubali yesu Kristo mambo ya ushirikina yanakuwa hayana nafasi kwenye maisha yako.
Hayo maandishi aliyoweka hapo juu ni shirki tuWewe bado Kuna vitu vingi huelewi,
Ukiwaambia hawa watu wanabishaaHayo maandishi aliyoweka hapo juu ni shirki tu
Hata kwa sisi waislam ukimuamini Allah na kuamini Mtume Muhammad ni mtume wa Allah basi hizo takataka hazina nafasi kabisa kwenye uislamUkimkubali yesu Kristo mambo ya ushirikina yanakuwa hayana nafasi kwenye maisha yako.
Kama hupendi shirki pia achana na zinaa, yote ni machukizo kwa Allah,Hakuna kitu sipendi hapa chini ya jua kama Imani za kishirikina. Kuna siku mzazi mwenzangu aliniambia anahisi Nina demu mpya na anamchezea sijui. Kuanzia siku hiyo nilimblock Kila sehemu sitaki kujua chochote kuhusu yeye.