Ukienda nje ya hapa lazima BAN ikuhusu tu

Siku hizi mods wanahuruma sana, wakati naingia Jf usipofanya censorship hata ya neno lolote la kuudhi kama pumbav* ilikuwa unalamba ban kirahisi tu.

Kitu pekee nawakumbusha wanachama wageni, wajiepushe sana na kuwa active, historia inaonyesha wana mtandao wanatabia ya kuandama sana I'd maarufu jukwaani.

Kuna watu hawana hamu kabisa na JF, bora mtu uje kama Nyete au kijana Ema, upukutishe acc za wanachama halafu potea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…