Ukienda ugenini Kuna vitoto vinapenda sana sifa

Unamfunza nidham kwa kumbinya mfupa?
Unamfunza nidham kwa kumbinya tako?
Mtoto wa miaka minne!

Au wewe unaelewa nini kuhusu ukatili?
"Unamfunza nidham kwa kumbinya mfupa?
Unamfunza nidham kwa kumbinya tako?"

Huyo aliesema sijui kumbinya tako kweli hata mm nimeona hayupo sahihi unaanzaje kumshika mtoto wa mtu matako?,ila napingana na wewe hilo la kusema kumchapa mtoto kwa lengo la kumfunza adabu eti ukatili
 
Gender ya kiume ni katili na ili ujue ukatili wake soma adhabu hapo juu walizokua wanamwambia amfanyie mtoto wa miaka minne,

Acheni roho mbaya nyie ma anko kama vipi acheni tabia ya kwenda kwa kaka na dada zenu, mtoto anamfurahia anko wake anataka acheze kama spider man, anamdandia kama kile kingedere cha kichina mtu unakasirika, na kama unataka kumfunza adabu basi mkataze hapo hapo kwa sauti mbele ya wazazi wake, sio wazazi wakiwepo ujichekeshe kama zuzu wakiondoka ukabinye mfupa katoto au umuwekee mguu adondoke au umbinye tako,

Huo ni ukatili na hauvumiliki, acheni roho mbaya nyie ndio mnaharibu watoto
 
Wapi nimepinga mambo ya kumchapa au ndio wenge la usingizi, nimekwoti hao waliotoa hizo adhabu na kumuhoji mtoa mada kama hakua anapenda basi angemwambia loud and clear,

Simple tu
 
Kuna watu wanawapenda sana watoto wao....

Baba na mama angu nacho wapendea Huwa wanashepu watoto vizuri 🤓

Nacho Mpendea mzee wangu Huwa ni mkweli....
Ulikua ukija home na matoto TUNDU lako anakuchana makavu...
Hata Kwenye ukoo amejijengea heshima kubwa....

Blue iz blue...black iz black...
Huyo mtoto unge zubaa anaweza kukutoboa jicho alaf wazazi wake wakaushia kukwambia polee...
binafsi mm ningewaambia...ila SEMA hiyo stage Kuna baadhi ya watoto huwaga wanaipitia....

🤓TOTO TUNDU_YOUNG KILLER MSODOKI

Wasalaam
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Kwa Sasa
+267
 
Watoto watukutu ni kuwaonyeshea kazi ya uhakika ili kila kakikuona lazima katie adabu na kakuogope,

Kulikua na katoto ka sista katukutu kanapiga wenzake kana tukana hovyo,siku moja kamempiga mwenzake ni kakanya kaka nitukana,nikasema usinitanie nilichukua fimbo nilikachapa sana,kalikula mboko za maana,lia sana baada ya hapo ni usingizi mzito,baada ya kuamka ni adabu tosha hadi leo.
 
Hahahah kata bao tu, wewe si bamdogo wake. Bro hawezi bonga sababu wewe ni mshua pia.
Wanamuharibu dogo kumpa uhuru wa kupitiliza. 😁😁😁
 
Mimi napenda watoto hila mazoea kupita kiasi ya kuvunjiana heshima mwiko kuna kitot kimoja cha sister angu kiliniambia sijui nini nikachukia mama yake namwambia akamsaidia Mimi kwangu kuchukia ni sekunde mama yake akatoka akarudia tena Yule mtot nilimpa vikwenzi vya maana toka hapo teh teh akawa ananiogopa ata kuniangalia sisi mama yetu tukiwa wadogo katulea ata kupanda kwenye sofa ulikuwa huwezi au kudeka deka kis*nge mwiko

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Amerithi kwako ulipokua mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…