Ukienda ugenini Kuna vitoto vinapenda sana sifa

Ukienda ugenini Kuna vitoto vinapenda sana sifa

Fanya hivi wakati unakabeba beba kamata tako moja halafu ufanye kama unaliviringa kwenda kulia....
Kakifanya ng`a na wewe unafanya ng'a,watajua mnacheza ila lazma wakakape panado maana katalalamika siku nzima..
Tabia za kibakaji kabisa hizi.
 
Watoto wakorofi ndio nawapenda sana, wakija kwangu nawapa upendo hadi wanabadilika na kua good kids.... ila kumbuka raha ya mtoto awe katundu tundu asipooze sana na asizidishe utundu, tutamuhisi ana tatizo la Afya ya Akili.
Hehehe aiseee Hadi nimesahau nilichotaka nichangie.. ndg Dr samahani kidogo upo maeneo yapi Kuna Chafu zangu mbili pacha unisaidie kukaa nazo walau masaa 4 tu Kuna kitu unaweza wafanyia..
 
Hehehe aiseee Hadi nimesahau nilichotaka nichangie.. ndg Dr samahani kidogo upo maeneo yapi Kuna Chafu zangu mbili pacha unisaidie kukaa nazo walau masaa 4 tu Kuna kitu unaweza wafanyia..
Walete Kigamboni masaa 4 hayatoshi tupe masaa 12 utakuja kuchukua watoto wapo well disciplined bila fimbo wala kufoka foka [emoji847]
 
Walete Kigamboni masaa 4 hayatoshi tupe masaa 12 utakuja kuchukua watoto wapo well disciplined bila fimbo wala kufoka foka [emoji847]
😀😀😀 Aiseee hili jibu lako linanikumbusha Kuna siku aunty Yao aliwafata jioni waende kwenye birthday ya mwezao alinipigia simu baada ya lisaa ananiamba Immanuel njoo uchukue pendulum zako na tugawane gharama za kurepair vitu hapa..nikajua tayari
 
Watoto wa siku hizi wajinga wajinga zamani ..

Mgeni akija ukamuomba hela ni fimbo ...

Mgeni akiwa sebleni anakula ukajipitisha ni fimbo ..

Mgeni akija usipo mwamkia ni fimbo ..

Mgeni akiwa amekaa unampandapanda mgongoni makofi ...

Ukilia unapigwa unyamaze ,ukinyamaza unapigwa ili ilie ....

YaNi ilikuwa ni fimbo na makofi ya mgongoni kama yote ,hakuna kukaa kama zobaaa...

Watoto wa siku hizi Sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walete Kigamboni masaa 4 hayatoshi tupe masaa 12 utakuja kuchukua watoto wapo well disciplined bila fimbo wala kufoka foka [emoji847]
Shule mara nyingi inawajenga watoto, ile hali ya heshima wanayojengewa shule ndio huitumia nyumbani pia

Sasa watoto wa miaka 5 kushuka chini ambao shule bado hawajaanza na wanalelewa kimayai ndio tatizo
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Aiseee hili jibu lako linanikumbusha Kuna siku aunty Yao aliwafata jioni waende kwenye birthday ya mwezao alinipigia simu baada ya lisaa ananiamba Immanuel njoo uchukue pendulum zako na tugawane gharama za kurepair vitu hapa..nikajua tayari
Hakuna lolote uoga tu, mtoto ukipay too much attention kwake hua anatabia ya kufanya sifa basi kama ni mtundu atazidisha zaidi, it's all about saikoloji tu ku deal na watoto wa aina zote, mimi hua na baby sit watoto wa ndugu zangu na rafiki zangu, kwao hulalamika utundu wa watoto wao ila wakija kwangu ni tofauti basi wanasema wanaigiza,

Mtoto akuzidi akili mtu mzima ni aibu.
 
Shule mara nyingi inawajenga watoto, ile hali ya heshima wanayojengewa shule ndio huitumia nyumbani pia

Sasa watoto wa miaka 5 kushuka chini ambao shule bado hawajaanza na wanalelewa kimayai ndio tatizo
Inategemea lakini kuna shule zingine ndio zinaenda kumpa mtoto utundu na ununda, kutokana na mchanganyiko wa tabia mbali mbali za watoto wengine,

Cheza tu na saikolojia ya mtoto haijalishi ana umri gani.
 
Fanya shambulizi la kimya kimya hakuna haja ya kushika fimbo.
Shika mkono vizuri kwenye msuli(hawezi kua na msuli) binya na dole gumba kwa nguvu kiasi utakutana na mfupa, kandamiza kama sekunde 10 hivi uone kama katarudia
Ukatili huo mkuu
 
Mnapeana mbinu za kiuogauoga sana mara umvizie, unamviziaje mtoto mdogo? Kapige mkwara tu tena uoneshe sura halisi na wazazi wake waone kuwa hufurahishwi na huo ujinga.

Me kwakweli nimeshindwa kabisa kuwa mvumilivu kwa watoto wajinga ni hapo hapo simchapi wala kumpiga kofi ila mbele ya wazazi lazima kajue nimemind.
 
Kama ni Uswazi basi shida haipo kwa Mtoto bali ni mazingira yaliyomzunguka Mtoto, hapo badala ya kumsulubu Mtoto ni lazima ahamishwe hayo mazingira
Hebu acha kuwajaza wenzio bhana, ahamishwe aende wapi na hapo ndo wazazi wanapoishi? Hizo theory zako haziapply kwa wote, huo uwezo wa kumhamisha wazazi wanao?

Una theory nyingi ambazo haziendani na context za uswahili.
 
Back
Top Bottom