Ukienda ugenini Kuna vitoto vinapenda sana sifa

Ukienda ugenini Kuna vitoto vinapenda sana sifa

Tunamzungumzia huyo mtoto mwenye tabia mbaya ambayo ni wazi imeathiriwa na mazingira
Wazazi wana jukumu la kumpa malezi yenye maadili bila kujali mazingira aliyopo mtoto. Mpaka mtoto anakosa adabu kwa kiasi hicho ni dhahiri kuna sehemu wazazi wamezembea kimalezi
 
Wazazi wana jukumu la kumpa malezi yenye maadili bila kujali mazingira aliyopo mtoto. Mpaka mtoto anakosa adabu kwa kiasi hicho ni dhahiri kuna sehemu wazazi wamezembea kimalezi
Basi ulipaswa uwaadhibu wazazi kwa kushindwa kumpa malezi bora mtoto na sio mtoto
 
Basi ulipaswa uwaadhibu wazazi kwa kushindwa kumpa malezi bora mtoto na sio mtoto
Wazazi watajijua wenyewe ila mtoto lazima nimfundishe nidhamu. Ukikutana nao ndio utanielewa now utaona kama nawaonea au ukatili. Samaki mkunje angali mbichi
 
Kwanza wanakupa mzosi wa kushiba mnk Kuna mwezio nae kaleta Uzi kuhusu kutengea chakula kidogo ugenini

Mambo ya vitot vitundu acha nao
 
Kama wewe sio mnafki kwanini usimkemee hapo hapo mbele ya wazazi wake? Kwanini usubiri hawapo ndio umfinye? Nyie ndio mnalawiti watoto kwa roho mbaya zenu.
Nyie wanawake mna akili za hovyo.

Mtoto ni razima afundishwe kuwa na mipaka na adabu haiwezekani mtu amekuja ndani huna hata dakika mbili tiyari amesha anza kunizoea kwa kunirukia utadhani tumejuana miaka 10.

Ndio maana matoto yenu yanarawitiwa kwa sababu ya kutokuwa na mipaka linapo kutana na watu huko mitaani likimuona mtu yeyote linarukia na kuanza kucheza naye, bila kujua mitaani kumejaa kila aina ya takataka.

Binadamu yeyote ili aonekane ana akili timamu ni razima awe na mipaka.
 
Back
Top Bottom