Ukienda Wilaya ambazo wenye uwezo ni wanasiasa pekee kuna tatizo!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Imekuwa inanishangaza sana ni sio vibaya kusemana kimaendeleo.

Wenzetu wa kanda ya kati hasa mikoa ya Dodoma na Singida wanapenda sana sana uongozi hivyo usishangae kuwaona kwenye uwaziri hata usipika. Ukiangalia wakina Ndugai, Malecella, Mwigulu na hata Prof Mkumbo na madharau yao utafikiri huko kwao kuna maendeleo.

Ukienda huko kwako wanako kuwakilisha utafundua wenye pesa ni wenyewe! ambao ni wafanyakazi wa serikali! Yaani si watu wa vitendo. Hivyo kuna jamii ambazo hazina maendeleo kwasababu ya utamaduni wa kujisifu kusifiwa na sio kufanya. Unakuta sehemu wamejaliwa Ardhi nzuri, location nzuri na hata elimu wanayo lakini bado tamaduni ya kimasikini bado wanazo.

Wanafikiri maendeleo yanaletwa na serikali pekee na wenyewe tu ndiyo wenye kujua na akili kuliko wengine. Akili pekee haileti maendeleo unatakiwa kuwa na mahusiano mazuri na watu, uwe mtu wa ubunifu, mvumilivu na usio kata tamaa ili uweze kuongoza jamii ya maendeleo. Inasikitisha kuona viongozi kwao masikini sana lakini wanakuja nchi za nje kutafuta jinsi ya kuficha pesa za wizi na rushwa kwenye miradi.

Hivyo ovyo kwa wananchi kama wenye pesa kwenye jamii yenu ni wale wanasiasa tu kwa mfano wa hawa jamaa zetu wa kanda ya kati achaneni nao ni bora muongozwe na mkulima mwenye mafanikio kuliko
Msomi masikini
 
Aina ya wabunge wanaopatikana ina relfect aina ya jamii wanayotokea. Kama ni jamii ya maneno matendo 0 nalo litaonekana
 
Sehemu yoyote inayoipenda CCM lazima iwe masikini, Dodoma na Singida nadhani ndiyo sehemu pekee Tanzania bado zina nyumba za tembe sababu ya ujinga
 
Aina ya wabunge wanaopatikana ina relfect aina ya jamii wanayotokea. Kama ni jamii ya maneno matendo 0 nalo litaonekana
Kwa mfano tabia ya mama kukosa ubunifu na kutegemea kukopakopa fedha toka nje ina-reflect tabia za watu wa Pwani. Huwa ni wavivu, wasio na ubunifu na wapenda dezo. Kila siku kuombaomba kwa watu.
 
Hili mbona lipo wazi kabisa
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Back
Top Bottom