Ukifahamu kuhusu "Prussian Education System" , utaelewa kwanini Likud nasema haifai watanzania kulipia mamilioni EMs

Walimu tu wa shule za St. Kayumbaz hukuti watoto wao huko, kila mtu akomae kuhakikisha mazingira ya mtoto wake yanakaa vizuri, kwa namna anavyoona inafaa.
Muongo wewe
Kuna mzazi hakutaka kupeleka watoto wake shule kwa sababu aliona elimu inayotolewa haiendani na mazingira ambayo anatamani mtoto wake awe wakati wewe unakomalia watoto waende hata hizo st. Kayumbaz

Hujaeleweka
Wabunge na mawazili hukuti watoto wao st. kayumbaz hata hao wasimamizi wa elimu ambao wanazopitia chapuo hukuti watoto wao huko, hizo shule zimeitwa za Wanyonge, sasa ukikubali kuwa mnyonge chaguo ni lako tu. Cha msingi mtoto apate Elimu
Kwani wewe Sio mnyonge?
 
Shida yako ni kwamba umesoma kayumba ndio maana hata Mawazo yako yamekaa kikayumbakayumba na hayo ndio matunda ya kayumba na ccm hawakulifanya hilo Kwa bahati mbaya wamefanya kusudi Ili waendelee kukutawaleni nyinyi na watoto
Hoja ya komasavaa imeshiba madini wewe ndio unaongea viroja. Ndio maana umeshindwa kupingana nae Kwa hoja unaleta maneno ya kejeli
Weka ushahidi hapa kama Kuna mtoto wa waziri yoyote unayemjua anasoma kayumba

Hata huyo waziri wa Elimu mtoto wake anasoma EM
Mawaziri kwanza hawasomeshi English Mediums ( Wanasomesha International Schools za mtaala wa Cambridge ada Dola elfu 30 Kwa mwaka)

Pili wana haki ya kufanya hivyo Kwa sababu wanasomesha Kwa pesa za wizi ( ufisadi)

Usiige kunya kwa Tembo utachanika msamba
Broo wewe huna hela Cha msingi tafuta hela
Kauli hii mara nyingi hutoelewa na masikini Kwa sababu tajiri anajua hela haitafutwi inategwa.
 
Ujue kayumba inamtengeneza kuwa self defense, self actualization,yaani Kama ni predator anajua how to hunt in this jungle called life,mfano mie napenda mwanangu labda shule kidogo ya kijeshi, sipendi alelewe Kama yai, yaani ajengewe discipline beyond human capability aka USA army navy seal.
Akomae since akiwa mdogo so hata ukubwani hakuna kuhangaika. Sema chuo peleka akasome uchumi huko USA sijui chuo Gani kile..Ila hapa na hao watt
Shida inaanza unapohisi harsh treatment ndo inabuild discipline na strong mentality.
Spend sana time na mtoto wako, mueke katika Njia unayotaka, mjengee tabia ya kusoma vitabu, halafu mjengee confidence na strong mentality. Hii inaanza kuanzia Nyumbani mpaka sehemu anayospend muda wake mwingi (shule), sasa unapeleka Kayumba anakutana na walimu na watu wengi wenye mawazo kama LIKUD au wewe baba yake, unafikiri atakuwa kama unavyotaka??? Tusidanganyane bro !
As a father you have failed your kids bro,
 
Asubuhi hii muda wa kufanya Kazi. Maneno yako hayana uhai. And I don't deal with dead energy.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Shida inaanza unapohisi harsh treatment ndo inabuild discipline na strong mentality.
Spend sana time na mtoto wako, mueke katika Njia unayotaka, mjengee tabia ya kusoma vitabu, halafu mjengee confidence na strong mentality. Hii inaanza kuanzia Nyumbani mpaka sehemu anayospend muda wake mwingi (shule), sasa unapeleka Kayumba anakutana na walimu na watu wengi wenye mawazo kama LIKUD au wewe baba yake, unafikiri atakuwa kama unavyotaka??? Tusidanganyane bro !
As a father you have failed your kids bro,
Tabia za kujisomea vitabu wanazo , sijataka hata TV iwe sebuleni Ila kabati la vitabu, nashukuru wanashika vitabu wenyewe,
Nikuambie human brain can work under pleasure or fear/pain.
Mfano wewe unafanya kazi ili tu kuepukana maumivu ya kutopata mahitaji yako, jeshini wanatumia njia Gani kuendesha watu, binafsi nilipenda ma ninaipenda Ile treatment ya kijeshi mkuu so huwezi nibadilisha.
Pia napamba na watt wawe na emotional intelligence na Wala sio intelligence quotient, emotions are very strong than logic. We survived through emotions, so kids must be aware of those both positive and negative emotions. Lazima aweze kuwa immunity with negative emotions, why jeshini unatukanwa wewe baadaye unakuwa sugu kiasi kwamba you're no longer swayed negatively with words, wanasema wanakutoa upepo.
Kids must be aware ego, euphoric, pleasure, anxiety,fear, worry etc.
Yaani kids wakiwa maturely emotionally is gift ukubwani mwao.
Sipendi Yale Maisha eti watt ya kupata A mara wani as if it's life. Wafaaulu kidogo na wawe na ujuzi like selling skills yaani waweze kuwashawishi watu wengine wajiunge na English medium ambayo wanamiliki Mana tayAri nishaianzisha najua watakuwa na uwezo wa kuiendeleza , wanasoma psychology, business management, marketing, administration, laws. Na sio kusoma Engineering Kama baba yao eti ndio uwe una akili sana mara ndio upate mkopo.
I need them to have with the ability to play with human mind game, to beat people with their own inner game, life is all about mind game.
Naweza nikatengeza kitu baadaye nikakipa hadhi ama status kuwa ukiwa unammiliki iphone phone, Gucci, Rolex watch, Bentley, rolly Royce basi wewe utakuwa of high value human being Mana Kila binadamu anataka kuwa wa thamani basi watu watashikwa watataka nao wanaume kitu changu ili wawe na value.
For me I don't need anything or even external validation to validate my value, am already satisfied internally.
 
Hutaki TV iwe sebuleni, why ???
Unaamini emotions ni strong kuliko logics mkuu, like serious kabisa????
Mambo ya human brain can work under pressure yashapitwa na wakati, brain needs conducive environment ambapo capacity yake can be utilized to the nearest Maximum, Mfano mdogo tu. Kajaribu kufanya research saivi watakwambia miongoni mwa njia nzuri ya kudevelop ubongo wa mtoto wako akiwa tumboni ni kuplay classical Musics or any of a sort kisha jiulize kwanini?
"wanasoma psychology, business management, marketing, administration, laws. Na sio kusoma Engineering Kama baba yao eti ndio uwe una akili sana mara ndio upate mkopo" . Kwanini uwapangie cha kusoma watoto wako???
Nikigeneralized naona ni kwamba, unawawekea misingi ya kutii sheria watoto wako, misingi uliyowawekea ni ya kukubali kutawaliwa. Na hayo ndio madhara ya kutumia harsh treatment kila sehemu
 
ndio hizi shule mnazipigia chapuo tupeleke watoto wetu? kuteseka sio sifa.
Screenshot_20250122_091947_Chrome.jpg
 
ndio hizi shule mnazipigia chapuo tupeleke watoto wetu? kuteseka sio sifa.View attachment 3209803
Mbona mawaziri na maraisi wanatokea hapo hapo,
Ulimuona Yule jamaa aliyeileta Ile ndege ya Boeing, yaani msachi ni TECHNICAL DIRECTOR WA KAMPUNI IYO YA BOEING AMESOMEA SHULE YA MSINGI UBUNGO BANA.
MBONA UNAHALALISHA KUTOA LAKI TANO UNUNUE KITOCHI KISA TU UNAYO 100BN.

kikwete akasomeshwa mwanae kibaha sekondari kwani alikosa hela ni ulimbukeni, niambie wewe unayelipa em mwanao anayo guarantee ipi.
Mentality za watu ukipandisha Bei basi kina ubora, enzi hizo 1998 tuna duka nyakato national Mwanza , mchele wa aina moja naugawa mwingine naandika kwa beseni 220per kg na mwingine 180 per kg ,
Sasa Kuna wajinga wengi nilikuwa nawala wa Bei kubwa , wanajua walijua uko tofauti njoo Sasa nimeupaka mafuta ya kula , ama unajua dagaa wanavyopendezeshwa ili umnase samaki ale chambo.
Somesha mtt em mlete apimwe na sk tuone tofauti hasahasa English ya ze ze
 
Hutaki TV iwe sebuleni, why ???
Unaamini emotions ni strong kuliko logics mkuu, like serious kabisa????
Mambo ya human brain can work under pressure yashapitwa na wakati, brain needs conducive environment ambapo capacity yake can be utilized to the nearest Maximum, Mfano mdogo tu. Kajaribu kufanya research saivi watakwambia miongoni mwa njia nzuri ya kudevelop ubongo wa mtoto wako akiwa tumboni ni kuplay classical Musics or any of a sort kisha jiulize kwanini?
"wanasoma psychology, business management, marketing, administration, laws. Na sio kusoma Engineering Kama baba yao eti ndio uwe una akili sana mara ndio upate mkopo" . Kwanini uwapangie cha kusoma watoto wako???
Nikigeneralized naona ni kwamba, unawawekea misingi ya kutii sheria watoto wako, misingi uliyowawekea ni ya kukubali kutawaliwa. Na hayo ndio madhara ya kutumia harsh treatment kila sehemu
Duh
 
100% Fact
 
Wewe mgumu Sana kuelewa
 
kuna mtu ambaye ambaye hapendi mtoto wake asome IST, na zingine kama hizo au apate elimu bora shida ni hizo ada hakuna tutabanana na Malindindo sekondari kulekule
 
Back
Top Bottom