Shida inaanza unapohisi harsh treatment ndo inabuild discipline na strong mentality.
Spend sana time na mtoto wako, mueke katika Njia unayotaka, mjengee tabia ya kusoma vitabu, halafu mjengee confidence na strong mentality. Hii inaanza kuanzia Nyumbani mpaka sehemu anayospend muda wake mwingi (shule), sasa unapeleka Kayumba anakutana na walimu na watu wengi wenye mawazo kama
LIKUD au wewe baba yake, unafikiri atakuwa kama unavyotaka??? Tusidanganyane bro !
As a father you have failed your kids bro,
Tabia za kujisomea vitabu wanazo , sijataka hata TV iwe sebuleni Ila kabati la vitabu, nashukuru wanashika vitabu wenyewe,
Nikuambie human brain can work under pleasure or fear/pain.
Mfano wewe unafanya kazi ili tu kuepukana maumivu ya kutopata mahitaji yako, jeshini wanatumia njia Gani kuendesha watu, binafsi nilipenda ma ninaipenda Ile treatment ya kijeshi mkuu so huwezi nibadilisha.
Pia napamba na watt wawe na emotional intelligence na Wala sio intelligence quotient, emotions are very strong than logic. We survived through emotions, so kids must be aware of those both positive and negative emotions. Lazima aweze kuwa immunity with negative emotions, why jeshini unatukanwa wewe baadaye unakuwa sugu kiasi kwamba you're no longer swayed negatively with words, wanasema wanakutoa upepo.
Kids must be aware ego, euphoric, pleasure, anxiety,fear, worry etc.
Yaani kids wakiwa maturely emotionally is gift ukubwani mwao.
Sipendi Yale Maisha eti watt ya kupata A mara wani as if it's life. Wafaaulu kidogo na wawe na ujuzi like selling skills yaani waweze kuwashawishi watu wengine wajiunge na English medium ambayo wanamiliki Mana tayAri nishaianzisha najua watakuwa na uwezo wa kuiendeleza , wanasoma psychology, business management, marketing, administration, laws. Na sio kusoma Engineering Kama baba yao eti ndio uwe una akili sana mara ndio upate mkopo.
I need them to have with the ability to play with human mind game, to beat people with their own inner game, life is all about mind game.
Naweza nikatengeza kitu baadaye nikakipa hadhi ama status kuwa ukiwa unammiliki iphone phone, Gucci, Rolex watch, Bentley, rolly Royce basi wewe utakuwa of high value human being Mana Kila binadamu anataka kuwa wa thamani basi watu watashikwa watataka nao wanaume kitu changu ili wawe na value.
For me I don't need anything or even external validation to validate my value, am already satisfied internally.