Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Sio mimi, kuna ndugu yangu kaniuliza boss.Meneja wa Makampuni ambaye juzi ulikuwa unatafuta supplier wa Boda boda 10 kumbe unaomba ajira? Tena za utumishi?
Tusubiri wajuvi.
Na bado natafuta supplier wa bodaboda boss. Kama unazo tuwasiliane.Meneja wa Makampuni ambaye juzi ulikuwa unatafuta supplier wa Boda boda 10 kumbe unaomba ajira? Tena za utumishi?
Tusubiri wajuvi.
Kubadilisha status iweje mkuu??Naombeni kuuliza kuna ndugu yangu anataka kujua:
Ukifanya oral interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako.
Yaani anajua baada ya siku ngapi kama amefaulu oral?Kubadilisha status iweje mkuu??
Mpaka watakapotoa majina ya walioitwa kazini hapo ndo atajua kama kapata au hajapata kiongoziYaani anajua baada ya siku ngapi kama amefaulu oral?
Kumbe kwa hiyo aendelee kusubiri.Mpaka watakapotoa majina ya walioitwa kazini hapo ndo atajua kama kapata au hajapata kiongozi
Yes asubiri tu mkuu mpaka watakapotoa kwani wakati anajibu interview ya oral comment ya mwisho walimwambiaje maana hiyo ndo inakupa muongozo wa ulichokifanyaKumbe kwa hiyo aendelee kusubiri.
Comment kama ipi ni sio ya baba jeni by by?!!ππYes asubiri tu mkuu mpaka watakapotoa kwani wakati anajibu interview ya oral comment ya mwisho walimwambiaje maana hiyo ndo inakupa muongozo wa ulichokifanya
Hakuniambia comment ya mwisho aliambiwaje. Kwani comment gani huwa wanatoa boss.Yes asubiri tu mkuu mpaka watakapotoa kwani wakati anajibu interview ya oral comment ya mwisho walimwambiaje maana hiyo ndo inakupa muongozo wa ulichokifanya
Kuna comment zinakuaga mwishoni hizo zinakuonesha tu ulichofanyaComment kama ipi ni sio ya baba jeni by by?!!ππ
Inategemeana wanaweza wakaanza kukupa ushauri paleHakuniambia comment ya mwisho aliambiwaje. Kwani comment gani huwa wanatoa boss.
Vijana ndio mnateseka hiviππππππ. Wanakushauri nini yaani.Kuna comment zinakuaga mwishoni hizo zinakuonesha tu ulichofanya
Ukiona wanaanza kukushauri ujue baba jeni bye bye na mwendo umeumaliza hahhh
Boss rudia kusoma uzi vizuri.Chawa wa makamba na mama Samia na wewe unahangaika ajira , chawa wenzio you wanaitwa moja Kwa moja kazini sjui ww unakwama
wap
Mkuu mbna km na ww unateseka vile..ππ π€£Vijana ndio mnateseka hiviππππππ. Wanakushauri nini yaani.
Asubiri mpaka lini? Mwambie aendelee kutafuta job kungine.Kumbe kwa hiyo aendelee kusubiri.
ππππhahhhh kwahiyo umeanza kutucheka tena??Vijana ndio mnateseka hiviππππππ. Wanakushauri nini yaani.
Hapana boss mm siwacheki.ππππhahhhh kwahiyo umeanza kutucheka tena??