Ukifanya Oral Interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako?

Chawa wa makamba na mama Samia na wewe unahangaika ajira , chawa wenzio you wanaitwa moja Kwa moja kazini sjui ww unakwama
wap
Rais Dr. Samia watu wako wananisema huku. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Kuna siku nitapokea meseji ya uteuzi PM.
 
Naombeni kuuliza kuna ndugu yangu anataka kujua:

Ukifanya oral interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako.
Sisi hatujui aisee,, chamsingi asubrie tu placement itoke ...Maana status zinaweza zisibadilike na akafanikiwa ,inaweza kubadilika ikafanikiwa au asifanikiwe..ila kujua zinabadilika baada muda gaani wanaojua watu ni wenyewe psrs basi Meneja Wa Makampuni
 
Kuna comment zinakuaga mwishoni hizo zinakuonesha tu ulichofanya
Ukiona wanaanza kukushauri ujue baba jeni bye bye na mwendo umeumaliza hahhh
Kumbe kuna kuwaga na comments,,na usipopewa comment inakuaje?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Au comments zinatolewa kutokukuvunja moyo,,ila wao wanajua tumekukanda[emoji23][emoji23]
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Pale comment huwa wanakupa makavu tu pale pale
Kwamfano umepiga oral afu mtu anaanza kukushauri kama una ukimwi vile hapo unahisi utapata??
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pale comment huwa wanakupa makavu tu pale pale
Kwamfano umepiga oral afu mtu anaanza kukushauri kama una ukimwi vile hapo unahisi utapata??
Kwa hyo utasikia
"thank u Mr Jobless,,we advice u to understand QNS and do more preparation for next post will be advertised""
Au comments gaan [emoji23][emoji23][emoji23] wizy
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Jobless unataka nitoe comment nilizoambiwa mimi hahhh
 
Kwa hyo utasikia
"thank u Mr Jobless,,we advice u to understand QNS and do more preparation for next post will be advertised""
Au comments gaan [emoji23][emoji23][emoji23] wizy
Kuna comment zinakuwaga tofauti pale au hata isipokuwa comment kwamfano wenzio wote hawakupewa nafasi yakuuliza swali au kusema chochote
Hapo unadhani nani mwenye uwezekano kuchukuliwa?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna comment zinakuwaga tofauti pale au hata isipokuwa comment kwamfano wenzio wote hawakupewa nafasi yakuuliza swali au kusema chochote
Hapo unadhani nani mwenye uwezekano kuchukuliwa?
Sahv kwa utumishi kukupa nafasi ya kuuliza sizani ,Maana Kama mpo wengi kuulizwa wanataka wamalize zoezi chap chap ,,,wakimaliza wanatumia lugha ya kukupa Matumain ili usiondoke Upo discouraged,,mfn

"" Thank u Mr.@wizy a.k.a Mr.jobless for ur time ,we hope to see u in our team, u may take ur certificate,we wish all the best""

Ila wakandaji ndo wanajua ukweli unapita au haupiti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakicomment hivyo ujue umepata lakini wakikujibu kavu tu kuwa majibu utayaona website "hiiiiiih my friend ujue umekwisha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wakicomment hivyo ujue umepata lakini wakikujibu kavu tu kuwa majibu utayaona website "hiiiiiih my friend ujue umekwisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Majibu ya kavu kavu Kama yapi[emoji23][emoji23][emoji23]??@wizy

mie najua hata Kama umeharibu watatumia maneno mazuri kwa Kila mtu ili kumtia moyo hata Kama hakutoboa ,ili mtu aondoke akiwa na Amani ,,asije akajinyonga bhna [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila ukweli wanaujua wakandaji maaana ,,wakimaliza ukaondoka ndio wanajumlisha marks zao kutokana ulivyojibu maswali yao , confidence yako,etc
 
Back
Top Bottom