Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Tuishi humoNini hazina maana Lonely me ?? .. hayo ni mawazo ya mtu huwezi jua yako sahihi au sio sahihi
au sio?😁Basi itakuwa hazina maana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuishi humo
Kila mtu anachowaza anataka kiwe sahihi 😂😂😂😂😂jobless wanaangamia aseeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanatoa sana nafasi ya kuulizwa swali au hata maoni.. Nakumbuka tulikuwa kiasi Ila walikuwa wanatoa hyo chance,, Sema wakandwaji wengi hawanaga mda wa maswali au maoni wanaona ninkujichoresha, as long as amemaliza saili anachotaka ni kuchapa laba,,Sahv kwa utumishi kukupa nafasi ya kuuliza sizani ,Maana Kama mpo wengi kuulizwa wanataka wamalize zoezi chap chap ,,,wakimaliza wanatumia lugha ya kukupa Matumain ili usiondoke Upo discouraged,,mfn
"" Thank u Mr.@wizy a.k.a Mr.jobless for ur time ,we hope to see u in our team, u may take ur certificate,we wish all the best""
Ila wakandaji ndo wanajua ukweli unapita au haupiti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
A k a[emoji23][emoji23][emoji23]Sahv kwa utumishi kukupa nafasi ya kuuliza sizani ,Maana Kama mpo wengi kuulizwa wanataka wamalize zoezi chap chap ,,,wakimaliza wanatumia lugha ya kukupa Matumain ili usiondoke Upo discouraged,,mfn
"" Thank u Mr.@wizy a.k.a Mr.jobless for ur time ,we hope to see u in our team, u may take ur certificate,we wish all the best""
Ila wakandaji ndo wanajua ukweli unapita au haupiti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakikuambia jitahidi uwe unapitia account Yako mara Kwa mara Ina maana Gani jamani.Inategemeana wanaweza wakaanza kukupa ushauri pale
Au wanakwambia good luck na mengine
Wanamaanisha utaona changes kwenye status yako.Wakikuambia jitahidi uwe unapitia account Yako mara Kwa mara Ina maana Gani jamani.
Kunakuwa na mabadiliko ya status pia kwaajili yakupata taarifa mbali mbali na zaidi upitie kwenye website yao kusubili pdfWakikuambia jitahidi uwe unapitia account Yako mara Kwa mara Ina maana Gani jamani.
AsanteKunakuwa na mabadiliko ya status pia kwaajili yakupata taarifa mbali mbali na zaidi upitie kwenye website yao kusubili pdf
Hahaha! Nakumbuka mimi nilifanya oral interview ya CDO's mwishoni kabisa kabisa nikaambiwa "you had a lot of issues but you have tried to condense them, thank you very much"Kumbe kuna kuwaga na comments,,na usipopewa comment inakuaje?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Au comments zinatolewa kutokukuvunja moyo,,ila wao wanajua tumekukanda[emoji23][emoji23]
Utapata comment nzuri hiiHahaha! Nakumbuka mimi nilifanya oral interview ya CDO's mwishoni kabisa kabisa nikaambiwa "you had a lot of issues but you have tried to condense them, thank you very much"
Sikuelewa kama nilifanya vizuri au laa!
Hahaahahahah Mambo vp wadau nimeona niwaambie na mm nachokifahamu tulienda kwenye oral exam Ddm kuna jamaa yangu tulipotoka akaniambia mwanangu nlipomaliza wameniambia excellent good mnoo , mwee hadi leo tupo nae mtaani tunasubiria hatujaitwa na walikua wanataka watu 360 na waliitwa idadi ikatimia na wakaendelea kuita majina ya nyongeza wa kwenye data base ila bado ngoma nzito kwahyo swala la maneno sijui wanayokuambia sio la kweli wakuu wanguKuna comment zinakuaga mwishoni hizo zinakuonesha tu ulichofanya
Ukiona wanaanza kukushauri ujue baba jeni bye bye na mwendo umeumaliza hahhh
Mzee aliambiwa yeye unauhakika aliambiwa???Mimi nimekisema kutokana na experience yangu hizo comments zipo na Kuna zingine unajua kabisa hapa sitoboiHahaahahahah Mambo vp wadau nimeona niwaambie na mm nachokifahamu tulienda kwenye oral exam Ddm kuna jamaa yangu tulipotoka akaniambia mwanangu nlipomaliza wameniambia excellent good mnoo , mwee hadi leo tupo nae mtaani tunasubiria hatujaitwa na walikua wanataka watu 360 na waliitwa idadi ikatimia na wakaendelea kuita majina ya nyongeza wa kwenye data base ila bado ngoma nzito kwahyo swala la maneno sijui wanayokuambia sio la kweli wakuu wangu
Mmh! The same to me, niliambiwa na mwenyekit wa panel Tena Kwa kurudia rudia Kwa msisitizo nijitahidi kutembelea website yao. Hadi akawa ananielekeza namna ya kuingia dah...basi tuWakikuambia jitahidi uwe unapitia account Yako mara Kwa mara Ina maana Gani jamani.
Hahaha vipi taesa hawajakupa internship mkuu Mimi nilifail interview yaoMmh! The same to me, niliambiwa na mwenyekit wa panel Tena Kwa kurudia rudia Kwa msisitizo nijitahidi kutembelea website yao. Hadi akawa ananielekeza namna ya kuingia dah...basi tu