😂😂😂😂😂Yes sasa kwamfano hauna confidence lazima wakushauri kuwa amini unachokisema maana wao hawaangalii majibu tuMajibu ya kavu kavu Kama yapi[emoji23][emoji23][emoji23]??@wizy
mie najua hata Kama umeharibu watatumia maneno mazuri kwa Kila mtu ili kumtia moyo hata Kama hakutoboa ,ili mtu aondoke akiwa na Amani ,,asije akajinyonga bhna [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ukweli wanaujua wakandaji maaana ,,wakimaliza ukaondoka ndio wanajumlisha marks zao kutokana ulivyojibu maswali yao , confidence yako,etc
Acha nikwambie basi siku nikitoboa nitawapa na comment nilizokuwa napewa wakati mwingine