😂😂😂😂😂Yes sasa kwamfano hauna confidence lazima wakushauri kuwa amini unachokisema maana wao hawaangalii majibu tuMajibu ya kavu kavu Kama yapi[emoji23][emoji23][emoji23]??@wizy
mie najua hata Kama umeharibu watatumia maneno mazuri kwa Kila mtu ili kumtia moyo hata Kama hakutoboa ,ili mtu aondoke akiwa na Amani ,,asije akajinyonga bhna [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ukweli wanaujua wakandaji maaana ,,wakimaliza ukaondoka ndio wanajumlisha marks zao kutokana ulivyojibu maswali yao , confidence yako,etc
Mkuu swala la comment achana nalo, washkaji kibao wametoboa na hakuna comment yoyote wanayopewa wakimaliza interview.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yes sasa kwamfano hauna confidence lazima wakushauri kuwa amini unachokisema maana wao hawaangalii majibu tu
Acha nikwambie basi siku nikitoboa nitawapa na comment nilizokuwa napewa wakati mwingine
Upo wapi?Na bado natafuta supplier wa bodaboda boss. Kama unazo tuwasiliane.
Hapa tunapeana updates tu comment haiwezi kumaanisha chochote paleMkuu swala la comment achana nalo, washkaji kibao wametoboa na hakuna comment yoyote wanayopewa wakimaliza interview.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar es SalaamUpo wapi?
Kama swali unalijua utajibu kwa confidence kama hulijui huwezi kuwa na confidence.Majibu ya kavu kavu Kama yapi[emoji23][emoji23][emoji23]??@wizy
mie najua hata Kama umeharibu watatumia maneno mazuri kwa Kila mtu ili kumtia moyo hata Kama hakutoboa ,ili mtu aondoke akiwa na Amani ,,asije akajinyonga bhna [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ukweli wanaujua wakandaji maaana ,,wakimaliza ukaondoka ndio wanajumlisha marks zao kutokana ulivyojibu maswali yao , confidence yako,etc
Maswali mengi huwa unaweza ukawa huyajui lakini confidence muhimuNalo neno aisee ,,ila kuna swali lingine linaitaji confidence Maana majibu yakufikiria hata ulijui ,mtzedi ,,au unalijua lkn linataka utuoneshe unajua
Kuna Yale ambayo huyajui majibu sahihi lakini swali umelielewa kwahiyo lazima ufikirieMle hamna swali la kufikiria unless kama wanauliza current issues.
Sasa ww umepigwa swali unalijua point iliyokuja kichwani ni moja au point hakuna hata moja kichwan ,,wakandaji wanakuambia at least 5points ,,unafanyeje ss kwenye kujibu hapo ,,hautafikiria angalau upate points za kuongea tena kwa confidence ? AU UTASEMA NEXT QN [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtzedi au utajibu tu kichwa kichwa haina kufikiria kama ni point sahihi au inakaribia usahihi,,pia lengo la usahili ni kupima uwezo wako wa kichwa kuchambua vitu kwa haraka hata kama ni kumention na sio kulezaMle hamna swali la kufikiria unless kama wanauliza current issues.
Bora kujaribu kuliko kusema sijui au kunyamaza kabisaSasa ww umepigwa swali unalijua point iliyokuja kichwani ni moja au point hakuna hata moja kichwan ,,wakandaji wanakuambia at least 5points ,,unafanyeje ss kwenye kujibu hapo ,,hautafikiria angalau upate points za kuongea tena kwa confidence ? AU UTASEMA NEXT QN [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtzedi au utajibu tu kichwa kichwa haina kufikiria kama ni point sahihi au inakaribia usahihi,,pia lengo la usahili ni kupima uwezo wako wa kichwa kuchambua vitu kwa haraka hata kama ni kumention na sio kuleza
Ktk kupambana lazima ujitoe hata ujui majibu bora ujitahidi hata kujibu majibu usiokuwa na uhakika nayo ,,wajue jamaa basi tu yupo Op
Kiukweli mimi nilipewa comment moja ambyo inatia sana moyo tena nilipewa na mwenyekiti ambye ni mwakilishi wa taasisi husika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pale comment huwa wanakupa makavu tu pale pale
Kwamfano umepiga oral afu mtu anaanza kukushauri kama una ukimwi vile hapo unahisi utapata??
Subiri pdf hiyo comment ilikuajeKiukweli mimi nilipewa comment moja ambyo inatia sana moyo tena nilipewa na mwenyekiti ambye ni mwakilishi wa taasisi husika
Cha ajabu kwenye app nina NOT SELECTED with red ink na SHORTLISTED kwenye web
Ila placement bdo
Oh kwa kanda ya ziwa ingekuwa chap tuDar es Salaam
Huko sina biashara boss.Oh kwa kanda ya ziwa ingekuwa chap tu
Kikubwa subria pdf itoke ndio ujue,, unaweza ukapata au ukaingia kanzidata..Kiukweli mimi nilipewa comment moja ambyo inatia sana moyo tena nilipewa na mwenyekiti ambye ni mwakilishi wa taasisi husika
Cha ajabu kwenye app nina NOT SELECTED with red ink na SHORTLISTED kwenye web
Ila placement bdo