Ukifanyiwa hivi na mwanamke inamaanisha nini haswa?

Jitahidi kuwa na sauti ya simba dhidi ya matendo yake! Kama ni mtu mzima na anania ya kujenga future na wewe atakuelewa.
 
jamanii mi nashindwa kuelewaa! nazidi kulewaa tu.. hivi kuna dawa ya kuacha kupenda&kupendwa niishi kama jongoo peke yangu. Maana ni SHIDAAAA
 
Kwanza nikuhakikishie kuwa uaminifu wako haujaku-cost, kuna kitu kingine bado hujakigundua. Una miaka 24, huyu uliye naye una miaka karibu miwili naye...naye anakusumbua. Mi nahisi uko "too feminine" . Samahani lakini. Kwa ufupi kama unataka kuwa na mtu na unataka kuanza nae familia kwa sasa kaa tena pembeni. Anza kujitafakari we ni nani, uko vipi, unatarajia nini kisha uanze kutafuta mwenzio baada ya wewe kujifahamu. Kama hutaki mtu anayekunywa pombe kamwe usimchukue kwa madai ya kwamba utamwachisha au utakuwa unampeleka wewe. Ya nini kujipa hii tabu yote wakati kuna ambao hawanywi? Utasema unampenda sana na upendo huvumilia. Kuna wakati tunatakiwa kupuuza mioyo na kusikiliza akili zetu hasa mwanaume kwenda kwa mwanamke.
 
mkuu,hivi kadem kako ndiyo kale kafupi maji ya kunde kanafanya kazi pale floor ya nne?..maumivu.
 
huyo msaliti, hizo ndio njia zake za kuomba msamaha.......
nawe jidai hupo bila kumwitaji utapata jibu.
 
Ni mlevi kumbe huyo dada mh ktk mahusiano lazma mue na muda hata wa kutekenyana mh nu shidder
 

Ushauri mzuri Ndugu yangu...nitaufanyia kazi.
 
Msanii,kwani akigegedwa au akimkubali mtu anakuambia?
 

Yawezekana kukupa taarifa hizo ni unafiki wa kutaka kukuweka sawa ili machoni pako aonekane ni mwaminifu!! Kwa maana nyingine anakufumba macho ya fikra pana kwa kukuaminisha kuwa kila afanyacho wewe unakijua kwa hali hiyo awapo kimya basi yupo tu! Na wewe utatulia ukijua kuwa yupo tu! kumbe ndio anatumia muda huo kugegedwa.

Kaa chonjo na watsapp man!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…